Daah! Nilikuwa nashangilia Cameroon jana. LolKwani Jana hajawaona Morocco? Waliotushinda kwa mchongo?
Lakini Cameroon akala 2?
Mi mwenyewe sijamuelewa hata. 🤣🤣🤣Ndoo ya maana...
Sasa Zidane aliruka nini pale
Algeria.Nani kapigwa
Mtoto wa Zidane hatimae kafungwa.Ndoo ya maana...
Sasa Zidane aliruka nini pale
Mpaka sasa sijajua lengo lao ni nini? Au ndo wanataka awe bingwa?Pamoja na yote yule refa ni kiazi sana, ile gemu aliwabeba Morocco wazi wazi
Imooooooooooo 2-0Algeria.