Ndio hawa hawa Mkuu.Hawa ndio Nigeria walio cheza na Tanzania au wengine?
Mi pia.All the Best to Nigeria
Kwa nini?Hawa ndio Nigeria walio cheza na Tanzania au wengine?
Rafiki I Miss U. 😘
Hauogopi?Nigeria atampasua Algeria na huyo Morocco vizuri kabisa.
Maana Nigeria leo wanatolewa.Niogope nini?
Hahahaaa. Lol.Uto's at missing point 🤣
Tatizo sio kutawala mchazo ,tatizo ni magoli .Aligeria watapata nafasi mbili tu na watazitumia vizuri.Kwisha kazi.Mechi leo itaamuliwa na magoli.Na sio kucheza vizuri.Unacheki ball?
Labda Algeria waloge
AmiinWatashinda Inshallah
Nani kapigwaImoooo.