SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Anaenda kingslanding baada ya kusikia kwamba atauliwa. Jaime anampenda cersie. Wengi wetu tunamchukia cersie lakini kwa upande mwengine tukiangalia kosa alilofanya cersie ni lipi hatulioni. Cersie hakuamuru lord stark auliwe, ni kweli cersie alikua anatembea na kaka ake lakini mnauona uovu aliokua akiufanya robert, kuingiza wanawake ndani ya chumbani mnacholala mke na mume halafu mke anakuona sio fair kabisa. Mimi binafsi sijauona uovu alioufanya cersie. Labda wenzangu nielezeni.
Cersie hakumrusha bran kwenye window
Cersie hakumuua lord stark
Cersie hajamtesa sansa wala arya
Cersie hajamuua baba ake
Cersie hajamsentence tyrion kuuliwa. Anachofanya ni kulinda ufalme wake tu
Alivyolipua Bomu hukuona
Na Leo kaua misandei
Ana Roho mbaya huyu mama
 
Ndio nini hicho?
Ukiangalia next ya ep05.. utaona kuna jinsi Euron ameangalia juu.Kuna huyu Dragon aliyesemekana amekufa kitambo mno(Balerion ). Sidhani..ni predictions tu za sisi wapenda Dragons, jamaa ni kama ameshtuka sana baada ya kusikia zile kelele angani.Na refer jinsi Misande alivyosema Burn them All..sidhani kama ni yule Dragon mmoja..it might be something bigger..
 
hapa nakubaliana na ww, Euron ametoa jicho kana kwamba ameona kitu cha ajabu sana angani, maybe ameona dragon mwengine ambae haku anticipate kabisa kumuona

Sidhani kama ile Kauli ya Burn Them All itafaa kwa Dragon mmoja.Ngoja tuone
 
Hivi itakuja tokea series Kali Kama hii? Sidhani aisee...!
Inaweza kuja tokea,Kuna moja inaitwa THE LONG NIGHT,ni prequel ya Game of thrones yaani inaelezea matukio miaka alfu kabla ya Game of thrones,ikiwemo origin ya white walkers,nk
 
acha tusubirie what's next. Ila Jon nmemuona amefika kingslanding, kuna bonge moja la battle linakuja litaacha wengi midomo wazi.
Sidhani kama ile Kauli ya Burn Them All itafaa kwa Dragon mmoja.Ngoja tuone
 
acha tusubirie what's next. Ila Jon nmemuona amefika kingslanding, kuna bonge moja la battle linakuja litaacha wengi midomo wazi.

Aliyemwangusha Dragon naona atakavyopotea potea..mana ana visa vingi..
 
Ukiangalia next ya ep05.. utaona kuna jinsi Euron ameangalia juu.Kuna huyu Dragon aliyesemekana amekufa kitambo mno(Balerion ). Sidhani..ni predictions tu za sisi wapenda Dragons, jamaa ni kama ameshtuka sana baada ya kusikia zile kelele angani.Na refer jinsi Misande alivyosema Burn them All..sidhani kama ni yule Dragon mmoja..it might be something bigger..
Kweli Mkuu,hata ukiangalia tease ya kwanza kabla ya trailers za GOT kuanza kutoka utaona upande wa winterfell inakubwa na dhoruba ya barafu (ice) ikimaanisha white walkers na king landing ikikumbwa na dhoruba ya Moto.
 
Alivyolipua Bomu hukuona
Na Leo kaua misandei
Ana Roho mbaya huyu mama
Bomu kalipua kulipiza kisasi kwa wale high sparrow na kumbuka walimtembeza akiwa uchi mji mzima. Hebu jaalia wewe leo mtu akuvue nguo zote halafu akutembeze hapo k.koo tu. Hasira zako utamfanya nini. Pili wale tyrels walikua wanataka kumpindua, walijua kwamba ni rahisi kumteka tommen. Ili kuhakikisha kua familia ya lannister inasonga mbele ni lazima high sparrow na tyrel waende na maji
 
Anaenda kingslanding baada ya kusikia kwamba atauliwa. Jaime anampenda cersie. Wengi wetu tunamchukia cersie lakini kwa upande mwengine tukiangalia kosa alilofanya cersie ni lipi hatulioni. Cersie hakuamuru lord stark auliwe, ni kweli cersie alikua anatembea na kaka ake lakini mnauona uovu aliokua akiufanya robert, kuingiza wanawake ndani ya chumbani mnacholala mke na mume halafu mke anakuona sio fair kabisa. Mimi binafsi sijauona uovu alioufanya cersie. Labda wenzangu nielezeni.
Cersie hakumrusha bran kwenye window
Cersie hakumuua lord stark
Cersie hajamtesa sansa wala arya
Cersie hajamuua baba ake
Cersie hajamsentence tyrion kuuliwa. Anachofanya ni kulinda ufalme wake tu

She told Jaime before Jaime pushed Bran.... “he saw us” two times I think and Jamie said I heard you then he pushed the poor boy. Power of women (cersie )
Wanted the imp her own brother to be killed while he did not commit any crime. She orchestrated the death of her husband King Robert .
 
Bomu kalipua kulipiza kisasi kwa wale high sparrow na kumbuka walimtembeza akiwa uchi mji mzima. Hebu jaalia wewe leo mtu akuvue nguo zote halafu akutembeze hapo k.koo tu. Hasira zako utamfanya nini. Pili wale tyrels walikua wanataka kumpindua, walijua kwamba ni rahisi kumteka tommen. Ili kuhakikisha kua familia ya lannister inasonga mbele ni lazima high sparrow na tyrel waende na maji
Lakini amewatibua baada ya kuua misandei .na huyo grey worm sijui atafanya nini
 
Ukiangalia next ya ep05.. utaona kuna jinsi Euron ameangalia juu.Kuna huyu Dragon aliyesemekana amekufa kitambo mno(Balerion ). Sidhani..ni predictions tu za sisi wapenda Dragons, jamaa ni kama ameshtuka sana baada ya kusikia zile kelele angani.Na refer jinsi Misande alivyosema Burn them All..sidhani kama ni yule Dragon mmoja..it might be something bigger..

Mkuu hii theory imekaaje!?
Ninachojua Balerion the Dread died of old age around 200 yrs and still his skull is in the dungeons beneath the Red Keep. S07 Qyburn showed to Cersei the scorpion which she tested on Balerion skull.
 
kuna kitu hakijaelewa kwenye hii epsd04, nahisi kama Rhaegal(dragon aliepigwa mishale) hajafa ila atakua amejeruhiwa tu. Ndio maana ukiangalia kwenye inayofuata Euron anaonekana kama ametoa jicho la kuogopa. Hii ina maana kwamba alifikiri dragon amekufa kumbe ni mzima, ila atakua amejeruhiwa vibaya tu. Pia tukiongelea swala la mda hii epsd04 kuna vitu vimerukishwa mno hatujavielewa imekuaje kuaje, mfano alivyotekwa missandei hatujaoneshwa wameonesha amefikishwa kingslanding.
 
Mistake (Starbucks cup..)
IMG_20190506_231816.jpeg
 
Back
Top Bottom