Hapana hapa tunapeana mawazo na mitazamo tofauti
Kuhusu ukichaa wa mtu ndio aonekane ni mchangamfu ilo ni suala mtambuka
Labda ile sentensi ya weak point ndio imekuudhi sorry aishaikum si matusi
Nilichopinga kwako ni kuwaunganisha wa Brits wote kwa conclusion ya watu wachache tena na kutumia kigezo kwamba wao ni pure Caucasian ndio maana hawajachangamka na wa US wamechangamka sababu ni half cast
Mimi nikatoa mawazo yangu kwa kusema wa Brits ndio taifa linalotoa mastaa wakubwa wengi pale Hollywood kuliko hata hao wa US wenyewe mfano Jason Statham, Antony Hopkins, Christian Bale,kate winslet,Daniel Craig,Adewale Akinnuoye, Guy Ritchie, Gérard Butler, Kate Becknsale,Orlando Bloom, Emily Blunt,Daniel Radcliffe, Chiwetel Ejiofor,Idris Elba,Luke Evans, Michael Fassbender,Ralph Fiennes, Colin Firth,Hugh Grand, Tom Hardy,Tom Hiddleston, Keira Knightley, Ben Kingsley, Jude Law,Christopher Lee, Gugu Mbatha,Ewan McGregor, Thadie Newton, Gary Oldman,Clive Owen,Dev Patel,Robert Pattinson, Emma Watson, Catherine Zote-Jones,Liam Neeson etc
Pia katika Game of throne yenyewe kuna ma Brits wengi tu mfano Sean Bean(Ned Stark),Isaac Hempstead Wright (Bran),Liam Cunningham (Devos),Sophie Turner(sansa),indira Varma,Maisie Williams (Arya),Charles Dance (Tywin Lannister),Natalie Dormer (queen jeffrey wife),Nathaniel Emanuel (tygerian maid), Kit Harington (Jon Snow) Lena Headley (the queen)
Nimejaribu kuweka hayo majina ya maactor kama reference ya kitetea point yangu kwamba Brits hawajazubaa na wao ndio wanachangamsha movies industry ya Hollywood ukitoa wa Australia
Ambacho labda tunatofautiana kidogo ni mtazamo wangu ambao mimi naamini US wanatumia sana media zao kupropaganda icho kitu na wanamedia nyingi sana za entertainment
karma is a bitch