SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Plots,subplots,intrigues,fantacy plus the wai they play the game of power.

Winter is coming and the dead comes with it, ungeifuatilia ungeielewa, episode ya kwanza ni ngumu kuielewa kirahisi.

"the highest risk should give maximum profit"
Mi pia najaribu kuielewa lakin siielewi yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna series moja inaitwa fauda jamani ni nzuri.ila tatizo ni subtitle usome. Maana humo lugha inayotumika ni Hebrew na kiarabu .mambo ya terrorist.ya kijasusi. Niliiangalia siku 4 tu season yote ya kwanza

Mkuu hiyo season 2 yake imeshatoka.
 
Lol.... Nataka nimuone.... yule jamaa alisota sana walikua wanamkataa kila sekta eti hana muonekano wa kisanii (japo kuna ka ukweli hapo[emoji23] [emoji23] )

Hakukata tamaa alikaza mpaka sasa ametoboa worlwide.... namkubali sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Yah! Off course jamaa hana muonekano na hayupo charming.
Ila muda wake umefika coz anajua mchz

iPhone 6s
 
Hata hivyo waingereza wengi ndivyo walivyo hawajachangamka kama wamarekani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
  • Thanks
Reactions: smy
Hata hivyo waingereza wengi ndivyo walivyo hawajachangamka kama wamarekani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Yeah! Wale ni wazungu pure ila wazungu wa marekani wengi ni chotara (halfcast) dats why wanakuwa wachangamfu ukifuatilia hata wanamziki na waigizaji utagungua wengi ni wahamiaji marekani.

Achana tu na half cast hata hawa wamarekani pure wapo tofauti sana na waingereza pure me nadhani ni huu mfumo wa kifalme.... waingereza wamekua kama mazombi wanatii sheria sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Lol.... Nataka nimuone.... yule jamaa alisota sana walikua wanamkataa kila sekta eti hana muonekano wa kisanii (japo kuna ka ukweli hapo[emoji23] [emoji23] )

Hakukata tamaa alikaza mpaka sasa ametoboa worlwide.... namkubali sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Yupo kwenye ile scene ya Arya anawakuta wanajeshi wanachoma nyama ya sungura huku wanaimba na Ed ndio sauti yake imesikika pale akiimba na Arya ndipo alipowaambia "I'm going to kill the queen" wakina Ed wakacheka

Mimi siamini katika kigezo cha mtu kukubarika kutokana na muonekano coz character inaweza kutengenezwa iwe na muonekano wowote kulingana na matakwa ya muvi
Wenzetu ndio maana wanafanya audition kwa waigizaji kupima uwezo wa kuigiza kuliko muonekano maana muonekano unaweza kufiti katika kipengere chochote

karma is a bitch
 
Yupo kwenye ile scene ya Arya anawakuta wanajeshi wanachoma nyama ya sungura huku wanaimba na Ed ndio sauti yake imesikika pale akiimba

Mimi siamini katika kigezo cha mtu kukubarika kutokana na muonekano coz character inaweza kutengenezwa iwe na muonekano wowote kulingana na matakwa ya muvi
Wenzetu ndio maana wanafanya audition kwa waigizaji kupima uwezo wa kuigiza kuliko muonekano maana muonekano unaweza kufiti katika kipengere chochote

karma is a bitch
Oooh nitakiangalia hicho kipande....

My dia waliomkataa ndio hao hao 'wenzako' sio sisi huku lol

Pia nikwambie atleast kwa waigizaji wa movie ndio wanatizamwa sana kipaji ila kwa music uwiiiii wanaangalia mnooo muonekano wako ndio maana jamaa walikua wanampiga chini na kumuaminisha yeye anafaa kua producer na sio muimbaji.... ila akapambana na hali yake plus promo mpaka sasa katoboaa kuna huyu mwingine anaitwa Sam hihihihihi japo ananyoa viduku ila sauti yake tu inambeba muonekanao zeroooo...

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hata hivyo waingereza wengi ndivyo walivyo hawajachangamka kama wamarekani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hapa naomba nikupinge kidogo maana Brits hawapo hivyo na mbona waigizaji wengi wa Hollywood ni waingereza

Brits na Australia wanatoa waigizaji wengi na wazuri kuliko US

Hata katika GOT waBrits ni wengi napenda sana tang yao jinsi wanavyotamka kiingereza

karma is a bitch
 
Yeah! Wale ni wazungu pure ila wazungu wa marekani wengi ni chotara (halfcast) dats why wanakuwa wachangamfu ukifuatilia hata wanamziki na waigizaji utagungua wengi ni wahamiaji marekani.

iPhone 6s
Weak point...kwani wazungu pure ndio hawajachangamka

karma is a bitch
 
Hapa naomba nikupinge kidogo maana Brits hawapo hivyo na mbona waigizaji wengi wa Hollywood ni waingereza

Brits na Australia wanatoa waigizaji wengi na wazuri kuliko US

Hata katika GOT waBrits ni wengi napenda sana tang yao jinsi wanavyotamka kiingereza

karma is a bitch
Laaziz ngoja nikwambie tulikua tunasema kuhusu msanii wa nyimbo huyo bwana Ed Sheraan sio waigizaji wa filamu.... me pia napenda sana british accent.

bwana Ed yeye ni mwanamuziki sio muigizaji ushaelewa eeeh.

eefeb72d7ea37726bbdd7f584e253883.jpg

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Yupo kwenye ile scene ya Arya anawakuta wanajeshi wanachoma nyama ya sungura huku wanaimba na Ed ndio sauti yake imesikika pale akiimba na Arya ndipo alipowaambia "I'm going to kill the queen" wakina Ed wakacheka

Mimi siamini katika kigezo cha mtu kukubarika kutokana na muonekano coz character inaweza kutengenezwa iwe na muonekano wowote kulingana na matakwa ya muvi
Wenzetu ndio maana wanafanya audition kwa waigizaji kupima uwezo wa kuigiza kuliko muonekano maana muonekano unaweza kufiti katika kipengere chochote

karma is a bitch
b5f7daefa914351923fb2320f8800cc3.jpg

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Oooh nitakiangalia hicho kipande....

My dia waliomkataa ndio hao hao 'wenzako' sio sisi huku lol

Pia nikwambie atleast kwa waigizaji wa movie ndio wanatizamwa sana kipaji ila kwa music uwiiiii wanaangalia mnooo muonekano wako ndio maana jamaa walikua wanampiga chini na kumuaminisha yeye anafaa kua producer na sio muimbaji.... ila akapambana na hali yake plus promo mpaka sasa katoboaa kuna huyu mwingine anaitwa Sam hihihihihi japo ananyoa viduku ila sauti yake tu inambeba muonekanao zeroooo...

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hii ni kasumba ambayo jamii zote duniani wanayo ya kuangalia muonekano wa mtu

Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndio namaliza chuo tulikuwa maghetoni tunaangalia tv mara ikapigwa Nyimbo ya Diamond (Nenda kamwambie ) watu wakajump kwenye conclusion kwamba Diamond ana sura mbaya na hawezi kutoka katika muziki

Unajua kisaikolojia watu wanapenda kuwaona watu wanaovutia sana ndio maana unaambiwa katika vitu vitatu ambavyo binadamu hawezi kujizuia kuvinotice ni 1)watu wanaovutia 2)chakula 3)hatari

Pia kuna media propaganda zinazohusisha muonekano na uzuri ndio maana jamii nyingi za kiliberal zinaamini uwembamba ndio alama ya uzuri na unene ni alama ya muonekano mbaya

Fatilia kisa cha muvi ya Red shoes and 7 dwarfs ,tangazo lao limepingwa sana kwenye tuzo za cannes baada ya kuonyesha tafsiri kama hiyo pia Adele amewahi kuambiwa kitu kama icho so it is just a media propaganda

umenena vema sana ndio maana Beyonce ana wimbo wake wa Pretty Hurts.... napenda sana mashairi yake kwani amewahamasisha young ladies wasikate tamaa na maisha yao as long as they are happy with themselves.....
Adele asingekua imara angejikondesha kama wengine wengi walivyofanya, wanaoamini wembamba ni uzuri (japo na mimi nipo kwenye hiyo kasumba, lol)

Diamond hahahaha hata Harmonize wakati anaanza walisema hivyo hivyo, profesa J walisema anafaa kua muuza duka k,koo kwa muonekano wake hahahahha jamaaaaani.

Hahahah it is a brainwash

Hata hapa JF nimeona thread moja kuhusu watangazaji na sauti zao hasa yule wa clouds mamy baibee watu wanahoji sauti yake na muonekano hahahah
Mimi kwangu mwanamke yoyote ni mzuri ili mradi ana kikojoleo coz wazuri hawana chochote cha ziada

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Back
Top Bottom