SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Will na Eliza ni watu muhimu sana kwenye hii muvi I like their couple

Waandaaji wanaonekana wanataka kuwa na muendelezo ambao utakuwa unaibua wahusika wapya kila siku bila kuua characters za wakongwe kwa kutengeneza visa ndani ya matukio ambayo yalishatoke ndio maana wamemuibua yule demu na dogo mpya kwa kisa cha Will na Eliza
Na sidhani kama watarudi tena

karma is a bitch
Nitawamiss William na Elizabeth.... ila waandaaji wanachofanya ni kizuri kwani itafanya movie iendelee kua na mvuto na isichoshe.

Niliangalia jinsi wanavyo shoot hiyo pirates daaah kweli wazungu sio wenzetu yaaani vijumba wanavyo 'ektia' halafu movie inakuja kutoka eti wapo kwenye limeli likuuubwa hahahahaha

Salute kwao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Ebwana eeeh sikujua kama ROME ilipata umaarufu hivyo ila kwa huku kwetu naona Spartacus ndio watu walianza kuielewa.....
Tatizo la ROME unatakia mtu uconcetrate sana maana kule ni mambo ya siasa na utawala kama mtu huna hobby na politics lazima usinzie,
hata hii GOT kuna wengi wanafata mkumbo tu kuangalia zaidi wanaangalia yale mambo yetu lakini story kama story unakuta haielewi.....

kumbe wazungu nao wanajielewa mda mwingine kwa kukataza hizo nudity lol.

Indira Varma nilianza kumuona kwenye movie ya KAMASUTRA baadae ROME then GOT hahahaha kwenye Kamasutra alikua kiboko, nilisikitika alivyo kufa kwenye Rome ni ile story yake na yule mumewe daaah was sad.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Kweli hata GOT unapoanza season 1 kama inaboa flani lakini inavyozidi kuiangalia ndio utamu unazidi

Kamasutra niliiangalia zamani kidogo nilishindwa kumgundua Indira Varma ingawa nilimuona Naveen Andrew (Sayeed Jarah) wa kwenye Lost
Kuna kipindi picha za matusi zilikuwa zinapendwa sana miaka ya 90

karma is a bitch
 
Nitawamiss William na Elizabeth.... ila waandaaji wanachofanya ni kizuri kwani itafanya movie iendelee kua na mvuto na isichoshe.

Niliangalia jinsi wanavyo shoot hiyo pirates daaah kweli wazungu sio wenzetu yaaani vijumba wanavyo 'ektia' halafu movie inakuja kutoka eti wapo kwenye limeli likuuubwa hahahahaha

Salute kwao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Naona Jon Snow anaenda kuchukua mke stonedragon...hahahah

Na ule utamaduni wa Targerian wa kuchanganya damu zao utakapotimia

Naona missandre na grey worm wamekula tunda la mti wa katikati, jamaa wametoana bikra...hahahahaha

karma is a bitch
 
Jamani nimeona youtube watu wana discuss GOT kuwa eti pengine ned stark yupo hai.na hii yote ni mbinu ya faceless man jaqen h'ghar.is just a theory sasa sijui ni kweli
 
Jamani nimeona youtube watu wana discuss GOT kuwa eti pengine ned stark yupo hai.na hii yote ni mbinu ya faceless man jaqen h'ghar.is just a theory sasa sijui ni kweli
Katika GOT anything can happen mkuu
Sitaki kuamini lakini subiri nifatirie maana kwenye kitabu mpaka mwisho hakuna sehemu inayoonyesha hata dalili ya Ned Stark kuwa hai
Pia kifo cha Ned kilitokana na chuki ya Ceisey baada ya Ned kuonyesha kupinga Joffrey kuchukua Ufalme sababu hakuwa mtoto halali wa Robert Barratheon na alikuwa beheaded hadharani watu wote walishuudia

Hata Jon Snow katika S07e02 pale winterfell alipoenda kwenye sanamu ya Ned , Littlefinger baelish alikuja akamwambia yeye ndio aliyeleta mifupa ya Lord Stark

karma is a bitch
 
Chuma cha reli little finger haaminiki ni manipulative sana tu na John snow hamuamini kiivyo
 
nipe site ya ku download hio kitu mkuu..sharing is caring
kitambo nilikua natumia torrent lakini sikuhizi natumia Terrarium Tv. ni Apk app utaisechi google inaitwa aptoide apk kisha ifanyie installation then ikiwa tayari ifunffue na search terrarium tv katika search bar ya aptoide ifanyie installation. Good to go...
 
Hii episode ya nne ni balaa wakuu....team lannisters,team cercie..kama nawaona vile walivyojificha
 
Dead man tells no lies, inasisimua hiyo.... niliangalia trailer kuna sehemu wapo watatu kwenye boti manzi anataka kuvua nguo ajitupe baharini jamaa mmoja akawa anamzuia asitoe nguo manzi akajirusha hivyo hivyo Capt Jack Sparrow akamind eti "isingekua huo mdomo wako tungeona zaidi" (nimerahisisha kwa kiswahili) hahahahaha Jack Sparrow ni tatizo lingine yule..... namkubali sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Dead Men Tell No Tales ..
 
New episode nimeshaiona Ili leak.ila katika vita Dragon anajeruhiwa.ila majeshi ya cersie wengi wameuliwa na moto wa Dragon. Nina wasiwasi na zile dhahabu zimeungua. Huku wana madeni. Safari hii ameshindwa na karibu season inatosha. Ndugu kina arya wameshaungana amebaki John snow.
 
Weka spoiler alert...unatupunguzia uhondo wengine hukuuu
 
Wakuu nahitaji mtu anayeuza external yenye series ikiwemo Vikings , GOT kuanzia mwanzo na nyinginezo na movie, tuongee biashara

driller⛏⚒
 
Back
Top Bottom