Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,807
Yaani mimi penda sana hii game of thrones my phone ringtone ni ile theme play yao rains of castamere.
Mkuu naomba nitumie hiyo instrumental theme ya GOT, naipenda sana

Hapo kwenye kutuma sasa ndo shida coz sijataka kujua jinsi yaku attach file huku.

Attach kama unavyotuma tuma picha vile, ni simple tu mkuu
Nkuu na mimi naisubiri the ringtone hiyo...
Hii series niliichoka nikapoteza interests...
Labda nianze kusoma kitabu kwanza ndo nije kuangalia upya...
Aisee guys nimejitahidi kutafuta jinsi yakuattach audio file from my phone nimeshindwa coz hapa situmii pc natumia app ya jf grom google play kwa simu so follow this link afu pale kuna aina nyingi za hii song kuna remix na original so mta choose wenyewe ila chagua iliyoandikwa officia soundtrack extended version au main theme 80's hii ipo kwa haraka haraka so ni nzuri kwa ringtone coz inasikikia kwa juu zaidi,
Enjoy:sly:
http://mp3wix.com/download/game-of-thrones-theme.aspx
Link ya wababaishaji unazungushwa mara sijui virus mara nn kero tupu.
wewe tuu mbona mimi nilipata.
Umetumia browser ipi?
Dah hapa nipo namalizia ku download episode ya 9 na 10 season 5 na kuangalia nipo episode ya 7 sasa... Nasikitika kusikia LORD COMMANDER JOHN SNOW atakufa daaaah........ but still kuna kale ka Stark kabinti ka Arya Stark nako kanaonekana katakuja kuwa kamtu kamaana huko mbeleni...
Aisee guys nimejitahidi kutafuta jinsi yakuattach audio file from my phone nimeshindwa coz hapa situmii pc natumia app ya jf grom google play kwa simu so follow this link afu pale kuna aina nyingi za hii song kuna remix na original so mta choose wenyewe ila chagua iliyoandikwa officia soundtrack extended version au main theme 80's hii ipo kwa haraka haraka so ni nzuri kwa ringtone coz inasikikia kwa juu zaidi,
Enjoy:sly:
Game Of Thrones Theme Mp3 Download
Hii series niliichoka nikapoteza interests...
Labda nianze kusoma kitabu kwanza ndo nije kuangalia upya...
Hakuna shaka mkuu kuna hii toka Kickass.... https://kat.cr/game-of-thrones-tv24493/ pia kuna hii toka EZTV https://eztv.ch/shows/481/game-of-thrones/ kazi ni kwako, ila uwe na Torrent downloader.Nipe link nataka kudownload second chance yote pls
thanks mkuuHakuna shaka mkuu kuna hii toka Kickass.... https://kat.cr/game-of-thrones-tv24493/ pia kuna hii toka EZTV https://eztv.ch/shows/481/game-of-thrones/ kazi ni kwako, ila uwe na Torrent downloader.