SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Arya amekuwa tough. Nimeisikia little finger atakufa sijui kweli. Sam amegundua njia ya kuwaondoa white walker.is getter better na so many questions
 
Mtu ambae alikuwa anani annoy ni alikuwa mume wa mwanzo wa sansa. Alikuwa so bad kwa wengi tu.alivyokufa nilisema finally. Mama yake nae mmh she is a f.bitch.
 
Nahisi Sansa na Jon Snow wata kwich.. kwich.. maana sio kwa jicho lile,,,,
Stark family hawana hizo na kwa Sansa haita wezekana na yeye anajua Snow ni kaka yake wa damu
Ingawa Jon Snow ni Targerian family na hawa mara nyingi wanaoana wao kwa wao ili kukeep their pure dragon blood kama unakumbuka hata Daenesy alikuwa anabakwa na yule kaka yake aliyemuuza kwa Karl drogo

karma is a bitch
 
Mtu ambae alikuwa anani annoy ni alikuwa mume wa mwanzo wa sansa. Alikuwa so bad kwa wengi tu.alivyokufa nilisema finally. Mama yake nae mmh she is a f.bitch.
King Jeffrey alikuwa hajui kutawala kabisa

Nakumbuka alikuwa anapenda kumtukana na kumdhalilisha Tyrion kutokana na udwarf wake aliwai kumuita "you monster" Tyrion akamjibu " perhaps monsters are dangerous and Kings are starting to die like flies"

karma is a bitch
 
Stark family hawana hizo na kwa Sansa haita wezekana na yeye anajua Snow ni kaka yake wa damu
Ingawa Jon Snow ni Targerian family na hawa mara nyingi wanaoana wao kwa wao ili kukeep their pure dragon blood kama unakumbuka hata Daenesy alikuwa anabakwa na yule kaka yake aliyemuuza kwa Karl drogo

karma is a bitch
Hakumbaka please

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Technically alikuwa anambaka maana Daenesy alikuwa hataki kabisa na kama unakumbuka alikuwa anampiga kabisa

Hapa simuongelea kal Drogo yule aliyemuoa bali namuongelea yule kaka yake sorry nimemsahau jina maana ni season 2 au 1 ile

Acha kupotosha uma
 
Kubaka ni kitendo.... yule kama ilielewa historia yao usingesema alimbaka wakati ni yeye ndie alienda kumuozesha kwa Kali drogo..... sema nakumbuka first time wanaoneshwa alimwambia dada ake atoe nguo zote ili amuangalie kama anafaa kwa kuozeshwa ama laa, akamgusa gusa na kujua kweli ameiva ndio akamuozesha kwa Kal Drogo ili wapate jeshi.... isingekua hivyo ndio angemuoa coz ukoo wa dragons hua wanaoana wenyewe kwa wenyewe ili wasichanganye damu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kubaka ni kitendo.... yule kama ilielewa historia yao usingesema alimbaka wakati ni yeye ndie alienda kumuozesha kwa Kali drogo..... sema nakumbuka first time wanaoneshwa alimwambia dada ake atoe nguo zote ili amuangalie kama anafaa kwa kuozeshwa ama laa, akamgusa gusa na kujua kweli ameiva ndio akamuozesha kwa Kal Drogo ili wapate jeshi.... isingekua hivyo ndio angemuoa coz ukoo wa dragons hua wanaoana wenyewe kwa wenyewe ili wasichanganye damu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Upo sahihi kabisa so kiujumla alikuwa ana mfanyia sexual abuse coz dada wako huwezi kumvua nguo na kumchunguza ndio maana nkachanganya madesa, I remember the guy alikuwa anaitwa Veserys

Naam, ila huwezi nunua embe bila kulibonyeza bonyeza kama limeiva lol....

yap nadhani jina umepatia

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Naam, ila huwezi nunua embe bila kulibonyeza bonyeza kama limeiva lol....

yap nadhani jina umepatia

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kweli unaweza ukapata embe kogwa miksa kulia na chumvi ya pilipili au ukapata bonye ndani lina kidudu mtu..[emoji1]

Sema yule jamaa yeye alikuwa anataka Ufalme tu ndio maana akamuuza dada wake

Hahahahaha we acha tu..... Tamaa yake ilimponza mpaka akafa kifo cha kutisha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nasikia mwanamuziki Ed Sheeran ndani?

iPhone 6s
Lol.... Nataka nimuone.... yule jamaa alisota sana walikua wanamkataa kila sekta eti hana muonekano wa kisanii (japo kuna ka ukweli hapo[emoji23] [emoji23] )

Hakukata tamaa alikaza mpaka sasa ametoboa worlwide.... namkubali sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
  • Thanks
Reactions: smy
Sijawahi kuelewa Game of Thrones ina utamu gani.

Nimemnunulia Bi. Zahra Bluray zote. Mwanzo nilianza kuangalia naye. Baadaye ikanishinda. Just too many characters, plots, subplots, intrigues etc.

And WTF is up with "Winter is Coming" ? How blaze is that for a catchphrase? Is there ever a time when winter is not coming?

I think there is a yearning for a medieval/ ancient European story (which is totally fine if done in a comprehensive way, I enjoy period pieces from "Rome" to "King Arthur: Legend of The Sword", more so the former than the later). But the freaking twisted fantasy that seems to be a little more than just a vehicle for gore and nudity escapes the more highbrow elements in me.

Moreover, the more fantasy is in a show, the more childish it is to me.

What makes "Games of Throne" so appealing, other than just following a popular show, can anyone tell me?

Maybe I am missing something.

Or is this totally a case of "beauty is in the eye of the beholder" and an insanely marketing circus featuring nudity, gore, an incomprehensibly multitude of plots and subplots, midgets and "winter is coming" will always remain irresistible to some?

Sent from my Kimulimuli
you weren't patient enough to even make it half way through the series. Winter is Coming is a catch phrase to keep you in suspense...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom