SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Patience is a virtuoe, I'm unorthodox. Cheesy catchphrase for a cheesy fantasy show, not for me I am afraid.

As for suspense, my own life is suspenseful, more than enough.

I have a fundamental philosophical problem with fantasies, fables and dragons.

I am inclined to think that that stuff is for teenagers, especially girls, and women, right up there with Harry Potter.

But I wouldn't be surprised if you like Harry Potter too.
Aisee mi mwenyewe naichukia Harry Potter sana. Game of Thrones yenyewe japokuwa naipenda ila huwa nachukizwa na zile sehemu zenye uchawi mwingi, sijui white walkers. Kuhusu fantasies na dragons wamezingua kishenzi.
 
Hahahahahaha Laaziz umenichekesha kumbe ulikua mlevi ila safiii sana kama umeweza kushinda hilo....

Wizard of Lies, nitaisaka hiyo kwa udi na uvumba napenda horror na scary movies..

Pirates of carribien unazifatilia??? Nasikia 5 imetoka ila bado sijaicheki.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Yeah nilikuwa natumia sana My Dia Laazizi but it was good to experience something new in that age

Pirates of Caribbean nazifatilia sana mzee mwenyewe Capt Jack Sparrow , ndio imetoka hapo May na mimi nimeshaiyona inaitwa Dead man tell no tales

Ni nzuri sana kuangalia pia imewarudisha watu niliokuwa nawapenda Orlando Bloom na Keira Knightley najua muendelezo wake utakuwa mtamu zaidi

karma is a bitch
 
Game of thrones season ya 7 imeshaabza kutok na kama kawaida itakuwa na epsode 7 tu badala ya 10 kama ilivyokuwa season 6.
Ndio mkuu hapa najiandaa mida ya baadaye nikitoka nikaangalie episode 2 Stormborn, jinsi Daenesy anavyozidi kujitanua

karma is a bitch
 
Yeah nilikuwa natumia sana My Dia Laazizi but it was good to experience something new in that age

Pirates of Caribbean nazifatilia sana mzee mwenyewe Capt Jack Sparrow , ndio imetoka hapo May na mimi nimeshaiyona inaitwa Dead man tell no tales

Ni nzuri sana kuangalia pia imewarudisha watu niliokuwa nawapenda Orlando Bloom na Keira Knightley najua muendelezo wake utakuwa mtamu zaidi

karma is a bitch
Spartacus ulitazama
 
Spartacus ulitazama
Lol, kuna mtu hajatazama Spartacus kweli.... Acha utani ile kitu weka mbali na watoto[emoji23] [emoji23]

Nakumbuka kipindi hicho tupo seblen na bros tunaangalia, mama kaja akatujoin heeeeeh si wakaanza yale mambo yao watu tukatizamana je nani achukue rimoti apeleke mbele!!! mwisho wa siku bro mmoja kachukua ile kuforward kitu kimegoma uwiiiii...
Bi mkubwa akasema "Nyie wajinga mnaangalia vinini hivyo, ndio maana siwapendi wazungu nikalale mieeee" akasepa zake

eti kuondoka na rimoti ikakubali kuforward khaaah.

Jupiter's cock.
Ile kitu ile ilikuwa na amsha amsha ila weka mbali na watoto.
Nakumbuka nilikuwa chuo madada walikuwa wanapenda hiyo series sijui kwasababu ua yale mambo maana uwa mnajifanya kuogopa damu lakini
 
Dead man tells no lies, inasisimua hiyo.... niliangalia trailer kuna sehemu wapo watatu kwenye boti manzi anataka kuvua nguo ajitupe baharini jamaa mmoja akawa anamzuia asitoe nguo manzi akajirusha hivyo hivyo Capt Jack Sparrow akamind eti "isingekua huo mdomo wako tungeona zaidi" (nimerahisisha kwa kiswahili) hahahahaha Jack Sparrow ni tatizo lingine yule..... namkubali sana.

Jack sparrow ni mwehu sana, hii mpya sijaitazama sijui nitapata mpya online ambayo ni safi
 
Hahahah remote ilikuwa ina yake hiyo

Kweli kwa kipindi kile ndio ilikuwa series inayotamba sana

Mambo ya matusi katika hizi story zinazoliflect maisha ya ancient Rome ni kawaida sana , maana nudity ilikuwa ni kitu cha kawaida sana mpaka kulikuwa na public bath ambapo jinsia zote wanaingia
Kuoga pamoja

Pia ngono ilikuwa nikitu cha kawaida sana kushiriki na watu tofauti kuliko kipindi kingine chochote duniani, ndio maana hata sanamu nyingi za Rome zipo naked hata michoro yao

Hahahah Capt alitaka kuona yaliyomo yamo sio kujitingisha tingisha tu hahahahah

karma is a bitch
 
Jupiter's cock.
Ile kitu ile ilikuwa na amsha amsha ila weka mbali na watoto.
Nakumbuka nilikuwa chuo madada walikuwa wanapenda hiyo series sijui kwasababu ua yale mambo maana uwa mnajifanya kuogopa damu lakini
Itakua walikua wanaangalia style na kujipiga "Selfieee' lol [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Jack sparrow ni mwehu sana, hii mpya sijaitazama sijui nitapata mpya online ambayo ni safi
Na mimi ndio nataka nitulie nianze kuitafuta nadhani safi ipo kuna wadau wameangalia tu fresh..... kile kichwa kibovu kile lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hahahah remote ilikuwa ina yake hiyo

Kweli kwa kipindi kile ndio ilikuwa series inayotamba sana

Mambo ya matusi katika hizi story zinazoliflect maisha ya ancient Rome ni kawaida sana , maana nudity ilikuwa ni kitu cha kawaida sana mpaka kulikuwa na public bath ambapo jinsia zote wanaingia
Kuoga pamoja

Pia ngono ilikuwa nikitu cha kawaida sana kushiriki na watu tofauti kuliko kipindi kingine chochote duniani, ndio maana hata sanamu nyingi za Rome zipo naked hata michoro yao

karma is a bitch
Laaziz we acha tu rimoti saa zingine zinakua na sifa sana hahahaha

Yes, Roma inaonesha ilikua moto sana kuna series flani inaitwa ROME umeiona??? humo ndio uchafu na uzinzi wote ila nadhani haikupokelewa vizuri sana japo me niliipenda story yake..... daaah kuna sehemu eti jamaa anafanya yake na manzi halafu kijakazi anawapepea mwanzo mwisho walipomaliza anawapa maji.... hahahahaha nikasema ama kweli waliovunja utumwa walipatia sana tena sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Laaziz we acha tu rimoti saa zingine zinakua na sifa sana hahahaha

Yes, Roma inaonesha ilikua moto sana kuna series flani inaitwa ROME umeiona??? humo ndio uchafu na uzinzi wote ila nadhani haikupokelewa vizuri sana japo me niliipenda story yake..... daaah kuna sehemu eti jamaa anafanya yake na manzi halafu kijakazi anawapepea mwanzo mwisho walipomaliza anawapa maji.... hahahahaha nikasema ama kweli waliovunja utumwa walipatia sana tena sana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Yeah nimeiona na ndio nilipomjulia Indira Varma (Ellaria Sand) wa Game of throne kule Dorme

Ile ilikuwa na matusi sana Laazizi na ilikuwa inaonyesha uhalisia wa Roma
Na kupokelewa ilipokelewa vizuri sana tena by that time ndio ilikuwa inabanda sana na matusi yake nafikiri ilifikia mwisho kutokana na story yake maana walitaka kuonyesha transition of Roma from Republic to Roma Empire

Kwa vile series ya Rome ilipata mafanikio ndio maana ikaleta mtazamo wa kimazoea wa kutumia nudity kwa filamu za ancient zilizofatia kama Spartacus na Game of throne

Kwenye GOT pia season 1 mpaka 3 kuna nudity na sex sana mpaka watazamaji walipopeleka malalamiko na kuibua mijadala kwenye fanbase yao kwamba sio vizuri kwa maadili ya kuangalia na watoto sababu GOT imekuwa maarufu na watu wa rika zote wanaiangalia ndipo waandaaji walipotoa vipengere vyenye nudity na sex
Pia watu walilalamika kuhusu vitendo vya ubakaji na ukatili viondolewe

karma is a bitch
 
Teh teh teh mzee wa matukio..... sasa what happened to Elizabeth na Will???
ndio story yao imefutika or what.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Will na Eliza ni watu muhimu sana kwenye hii muvi I like their couple

Waandaaji wanaonekana wanataka kuwa na muendelezo ambao utakuwa unaibua wahusika wapya kila siku bila kuua characters za wakongwe kwa kutengeneza visa ndani ya matukio ambayo yalishatoke ndio maana wamemuibua yule demu na dogo mpya kwa kisa cha Will na Eliza
Na sidhani kama watarudi tena

karma is a bitch
 
Yeah nimeiona na ndio nilipomjulia Indira Varma (Ellaria Sand) wa Game of throne kule Dorme

Ile ilikuwa na matusi sana Laazizi na ilikuwa inaonyesha uhalisia wa Roma
Na kupokelewa ilipokelewa vizuri sana tena by that time ndio ilikuwa inabanda sana na matusi yake nafikiri ilifikia mwisho kutokana na story yake maana walitaka kuonyesha transition of Roma from Republic to Roma Empire

Kwa vile series ya Rome ilipata mafanikio ndio maana ikaleta mtazamo wa kimazoea wa kutumia nudity kwa filamu za ancient zilizofatia kama Spartacus na Game of throne

Kwenye GOT pia season 1 mpaka 3 kuna nudity na sex sana mpaka watazamaji walipopeleka malalamiko na kuibua mijadala kwenye fanbase yao kwamba sio vizuri kwa maadili ya kuangalia na watoto sababu GOT imekuwa maarufu na watu wa rika zote wanaiangalia ndipo waandaaji walipotoa vipengere vyenye nudity na sex
Pia watu walilalamika kuhusu vitendo vya ubakaji na ukatili viondolewe

karma is a bitch
Ebwana eeeh sikujua kama ROME ilipata umaarufu hivyo ila kwa huku kwetu naona Spartacus ndio watu walianza kuielewa.....
Tatizo la ROME unatakia mtu uconcetrate sana maana kule ni mambo ya siasa na utawala kama mtu huna hobby na politics lazima usinzie,
hata hii GOT kuna wengi wanafata mkumbo tu kuangalia zaidi wanaangalia yale mambo yetu lakini story kama story unakuta haielewi.....

kumbe wazungu nao wanajielewa mda mwingine kwa kukataza hizo nudity lol.

Indira Varma nilianza kumuona kwenye movie ya KAMASUTRA baadae ROME then GOT hahahaha kwenye Kamasutra alikua kiboko, nilisikitika alivyo kufa kwenye Rome ni ile story yake na yule mumewe daaah was sad.

Back
Top Bottom