Sowah, anakipaji anapaswa kutunza kipaji chake kwa Nidhamu na siyo kuvunja heshima ya watu wengine

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu

Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo lisilohusu fani aliyonayo

Mwanzo wa kupoteza kipaji cha mtu, ni kukosa nidhamu, katika kukosa nidhani, ni sababu pia ya kukaribisha na kujitengenezea maadui katika fani yako

Ndugu zanguni, nafahamu, kuna wale ambao huwezi kuwaambia juu mchezaji Sowah na kile amefanya kwa kuchana picha ya Rais wa Yanga, lakini pia, kuna wale huwezi kuwambia chochote kumhusu Heresy Rais wa Yanga, wapo kumlinda, kumpigania na kumtetea kwa nguvu zao zote na kwa hali na mali

Wapo tayari hata kuroga mtu, kisa katendwa vibaya, hata kama kwa utani utani hivi

Sowah, anahitaji kubadirika hasa anapotaka kuishi na jamii za mataifa mbalimbali za watu
 
Mkude alipochinja simba hamkuona, kenge ninyi
 
Yuko wapi?

Haijalishi unaamua kumvunija heshima nani, kuvunja heshima ya mtu, siyo tu unahama simba kwenda Yanga au kuhama Yanga kwenda Simba, bado ni utovu wa nidhamu na unaweza kushughurikiwa na watu baki kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hajachelewa ana nafasi ya kumuomba mhusika msamaha.

Muda si mrefu waliokua Wana furahia kwa tukio alilo lifanya ndio watakao mtukana.
Kama baadhi ya mashabiki wao walifikia hauta ya ku mdhihaki mwekezaji wao kisa kuwaeleza deni halali analo Wadai itakuja kuwa yeye Sowa!!!
Kama wameweza ku mtukana Aishi Manula aliye chezea Simba kwa miaka mingi na kujitolea kwa Moyo wake wote sembuse yeye Sowa!!
 
Kwani hiyo picha aliyochana ni ya the so called Hersi??

Kwa hiyo kila anayevaa nadhifu na kupendeza ni Hersi?
Acheni kutafsiri mambo kwa namna mnavyotaka bwana mwacheni kijana afurahie talanta yake.
 
Back
Top Bottom