Fact.Ugumu unakuja sababu vijana weng waliopo south weng wao hawajasoma wameishia std 7 sasa usitegemee kupata kaz ya maana sana sana utaambulia kubeba mizigo angalau kidogo uwe unakipaji labda fundi ..kingne kinachowaalibu watz weng hawana mioyo ya kusaidiana wanachukiana wenyewe kwa wenyewe hawasaidian kama raia wa nchi zingne pia wamezid kuvuta bangi sana na kuziuza na usela umezid ...maisha kote magumu usiwakatishe wengne moyo Maisha ni kujaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
cha kopo au?....Mbiti bhuanateh uzi wako watu walifikia hatua ya kugombana duh!pole rudi tu uuze haat kisamvu mkuu
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
cha kopo au?....Mbiti bhuana
Mkuu ni heri kulala njaa nyumbani kuliko ugenini.Si kila mateso unayoyapitia ni hatua ya kuelekea kwenye mafanikio.Mafanikio ni suala mtambuka na tajiriba ya mtu binafsi.Huyo jamaa arudi nyumbani aje choma ata miongo anaweza tusua.Kuteseka ni hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio, pambana utatoboa tu.
Uko Tz nako kila mtu analalama maisha magumu.
unkown killers, hit men etc.Pole sana mkuu,rudi tu nyumbani, maisha yako huku,ila natumaini umeshajifunza vya kutosha.Tulikuwa tunadanganyana sana miaka ya nyuma kuwa ili utoke ni afadhali uende kuishi ughaibuni,kwa sasa hivi ni tofauti,njoo upige kazi hapa nyumbani,utatoka na maisha ni matamu ajabu.Tuna kila kitu kizuri ambacho zamani ili uvione ni lazima kwenye movie au magazeti ya nje,tuna Express commuter buses,rotating restaurants,skyscrappers,flyovers,hanging bridge,wengine waongezee...
asije akayavaa huko maana hawachelewi kukataanaMkuu ungepambana kidogo. Tafuta watu wa jamii za kitanzania wanapatikana wakuoneshe michongo ila iwe ya kihalali. Ila kama ushafanya yote na ime bounce basi rudisha mpira kwa kipa Tz. Ujipange tena.
Mkuu south unapata simu ya touch kwa R200? Basi maisha mepesiSio kweli haupo SA umepata rand sehemu na kuzipiga Picha wewe kila nyuzi zako ni kutunga uongo tuu hiyo rand 200 unapata Simu ya kuparaza wewe hauna Simu...endelea kudanganya Simu utahitaji msaada utakosa kwa mambo yako hayo..
Tena huku kwetu Kwamtogole wanapitisha kwenye ndoo kimeshapndwa bakuli 500haha hakuna dili mkuu ! aje tu auze hata hicho!