Kaboya Kenneth
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 289
- 280
Kama siyo mvivu rudi bongo tufanye kazi, maisha magumu popote kama mvivu, jitahidi buni unachokiweza usiige.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Pambana mtu wangu acha uoga huo sehem zote duniani ni ngumu ila kuna zenye matumaini kama hizo uliopo.. Yani hapo mi unanitamanisha nikiona hizo Rand hapo maan na nikibadili na hela zetu ka elf 60 kananihusu..hela yetu haina thamani kabisa asee,, we jichange ila usirudi bongo nakwambia ni pa hovyo sana hutajuta kwanini ulirudi Pambana tu.
Absolutely.. Yani south ndio chuo kwa upambanaji wa maisha, sasa ukifeli ukarudi bongo asee hutajuta.mi na mfano wa jamaa mmoja alirudi bongo kutok SA maisha yake kwa sasa yamekuw magumu maradufu sabab ni kwamba kule south alikuwa anapiga hela lkn starehe zinakuwa nyingi na pia alisema ukipata kazi kule hela unaiona sasa shida kwenye matumizi kama hauko makini ndio unafeli.. Sasa kuja bongo kila kazi akitafuta zinafeli hapati na hapo ndio ugumu maradufu uanzia.MKUU, INA MAANA HATA KAZI YA KUTUNZA BUSTANI HUJAPATA?
ILA ID YAKO INAKUDIRECT SEHEMU INAYOKUFAA.. KIJIJINI
HALAFU KAMA UMESHNDWA KUTUSUA SOUTH, BONGO NDO UTAPOTEA JUMLA
Mku vipi zile issue za kupiga simu za under ground bado zipoHuyo mtu kama kweli yuko sauz namhurumia..maisha ya hapa c mzaha na vijana wengi wa kibongo madawa yanawaua.ila si wabongo wote wanateseka.kama aliingia bila plan atahangaika saana.arud hukohuko kijijin akalime.hiv mashamba yameisha?
Mku natafuta nauli ya kurudi wakati kurudi ni bure ila pa kutokea ni mahakamani Kisutu.Afadhali mwana umejionea mwenyewe,Sema si haba najuwa kuna mengi umejifunza.Big up mkuu.
Ni kweli kabisa.Absolutely.. Yani south ndio chuo kwa upambanaji wa maisha, sasa ukifeli ukarudi bongo asee hutajuta.mi na mfano wa jamaa mmoja alirudi bongo kutok SA maisha yake kwa sasa yamekuw magumu maradufu sabab ni kwamba kule south alikuwa anapiga hela lkn starehe zinakuwa nyingi na pia alisema ukipata kazi kule hela unaiona sasa shida kwenye matumizi kama hauko makini ndio unafeli.. Sasa kuja bongo kila kazi akitafuta zinafeli hapati na hapo ndio ugumu maradufu uanzia.
mimi?Mku natafuta nauli ya kurudi wakati kurudi ni bure ila pa kutokea ni mahakamani Kisutu.
Jilengeshe ktk Tenga la mkaburu wakupeleke Lindela Prison ukasubirie dege la umoja la kuwarudisha kwa bi mkubwa yaani bongo.
Ila nakushauri usikate tamaa kwani ninaamini hujakutana na wabongo ili wakupe issue za kufanya lakini usiishi kwa kuchagua kazi.
Ukipata kazi ya kuuza matunda au masimba chips fanya ndo mwanzo wa kupata mchango mwingine wa maana.
Niambie uko mji gani kama ninajamaa hapo watakupa pa kuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku samahani nilikuchanganya na aliyoko kwa mkaburu.Unaongea na
mimi?
At least umepata story ya kuja kuwasimulia wajukuu zako




Na wewe uko pande hizi za Madiba?Kaza but usirudi bongo ukiwa na njaa njoo ule kwangu![]()
Unatak kujNa wewe uko pande hizi za Madiba?
-Ndumilakuwili-
Zile ishu ziliisha kitambo sana.telkom walivoshusha bei ya international call ndio ukawa mwisho wa game..daa kitambo
Na nyie WA huko Dar msije kijijini maana siku hizi ata pamba imegoma!!bakini huko huko na mkuu wenu WA mkoa mjenge "mabarabara" Tu sasa maana hakuna namna!Asiyesikia la mkuu na aje! Maisha sehemu zote Duniani kwa sasa yamekuwa magumu. Hata huku Dar msije jamani watu wa mikoani maisha ya Dar ni magumu!
Pole sana, hakuna sehemu iliyobarikiwa Afrika kama South Africa brother. Maandalizi ya kuzamia ndiyo huleta image ya huko unakoenda. Soma uzi wangu na nijulishe ulipo South Africa, mtu yoyote anayetaka kuja South Africa kitu cha kwanza awe na uhakika wa sehemu ya kula na kulala mengine yatajishoosha yenyeweNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app