Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 965
Kweli kabisa unatembea kifuambele home kwako hakuna wa kukubabaisha ilo nalo nenoJapo Bongo maisha ni magumu ila kuna raha yake..
Nyumbani ni nyumbani!!

Dizain jamaa anatuingiza chakaMmmh eti sim imezima hata ile thread yako ukaanza mbwembwe mara sijui sim mara nimeibiww mara niko cape town nafanya kaz burger King naona uongo unaendlea season 2 haya twende kaz baba.
Dizain jamaa anatuingiza chaka
ngoja tuone.
kweli huko hakufai mpaka simu umeazima?Rudi nyumbani sisi twakungoja mezani uje tule pamoja,wewe ni ndugu yetu,njoo nyumbani nakuombaNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hupo mji gani?na unafanya nini kwa sasa?Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepost ukiwa kwenu Mabibo huko unatuzingua.....tutakuja tupambane, ukishindwa wewe sio kila mtu atashindwa!Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,