hueleweki au umeamka na hangoverKatika kuhonga ila na maisha, kuna wakati TV ilikufa sina hela ya kununua nyingine, kuna bibi mmoja alinipa TV yake nitumie mpaka nitakaponunu ya kwangu. TV ya bibi ilikuwa black and white. Poa mradi una watch news.
Baada ya mwaka ndiyo nilikumiss TV ya rangi, matangazovya biashara ni kama nilikuwa nchi nyingine.
aambie jamaa wasije watu wanateseka sana na hasa Dar mbaki huko hukoNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
A HUJAFANIKIWA WEWE RUDI AU MWAMBIE ZARI WA DIAMOND NAYE ARUDI!!Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamka nazo?Katika kuhonga ila na maisha, kuna wakati TV ilikufa sina hela ya kununua nyingine, kuna bibi mmoja alinipa TV yake nitumie mpaka nitakaponunu ya kwangu. TV ya bibi ilikuwa black and white. Poa mradi una watch news.
Baada ya mwaka ndiyo nilikumiss TV ya rangi, matangazovya biashara ni kama nilikuwa nchi nyingine.
Sijakuelewa point yako kulinganisha na post ya mleta mada naona kama umeandka kitu tofaut na alicholetaSouth ndio nchi pekee ukitaka kufungua kiwanda ukituma maombi wao ndio wanakutafuta kuhusu eneo Mitambo kama umeagiza nje wafanye utaratibu isikae bandarini ifike eneo husika kwa wakati..kuna bidhaa nyingi kuliko wanunuzi kila kukicha tunapakia tuu ila huko bongo hamna viwanda mnakamatana viboxi viwili eti risiti sijui huku unapakia contena au kushusha hakuna SARS au police atakaekusumbua maana wanajua una documents na shusha kila siku
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamtishia maisha mkuu?be careful usiliwe tako. tu