South Africa msije Sio kuzuri

South Africa msije Sio kuzuri

Ebu rudi mapema kabla hujawa punda wa madawa! ukienda nchi za watu uwe umejipanga haswaa!
 
Eeee bwanA eeh mkuuu daah sema hutoona comment yangu maana huna hata simu simu yenyewe umeazima
 
mmmmmm,mtoa uzi ni kweli?au unawakatisha tamaa wanaotaka kujaribu,kila mtu na ridhiki yake ila usikatishe watu tamaa,halafu hujatuambia why maisha huko ughaibuni yamekushinda,but anyway una nyumbani kwako Tanzania karibu.
 
Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije

Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu kajilipua yupo huko ni miez miwili sasa, nilichogundua pia usipo kuwa na mwenyeji huko utapata shida
 
Pole sana mkuu,rudi tu nyumbani, maisha yako huku,ila natumaini umeshajifunza vya kutosha.Tulikuwa tunadanganyana sana miaka ya nyuma kuwa ili utoke ni afadhali uende kuishi ughaibuni,kwa sasa hivi ni tofauti,njoo upige kazi hapa nyumbani,utatoka na maisha ni matamu ajabu.Tuna kila kitu kizuri ambacho zamani ili uvione ni lazima kwenye movie au magazeti ya nje,tuna Express commuter buses,rotating restaurants,skyscrappers,flyovers,hanging bridge,wengine waongezee...
Na Mamwendo kasi
 
Nakushauri usirudi bongo,Pitia inchi jirani hapo ya Botswana utatusua,South ngozi nyeusi zimekaba sana,Botswana hutojuta nenda ukajaribu ila kumbuka kuwa makini kwani kule Wamama na Wadada ni penda penda sana
 
MKUU, INA MAANA HATA KAZI YA KUTUNZA BUSTANI HUJAPATA?

ILA ID YAKO INAKUDIRECT SEHEMU INAYOKUFAA.. KIJIJINI

HALAFU KAMA UMESHNDWA KUTUSUA SOUTH, BONGO NDO UTAPOTEA JUMLA
 
ni huyuhuyu shibekijijini ama, asee jamaa umerudi, ukimya wako ulishtusha wengi.
pambana maana hakuna kitu rahisi kwenye utaftaji
 
Mwanaume kufail ni dhambi walahi nakuapia ukishindwa kbsa nipm nikupe wadau wakupe maelekezo hizo nchi za watu we ulijiandaa muda mrefu lkn hukujiandaa kisaikolojia
Pambana mbaba hata Mugabe alishikaak47 ndio akawa hapo alipo mafanikio kufika na kufanikiwa/kupata dili zungumza na wenyeji/naijerian/hawa hawakosei maelekezo ni wewe2 kama unauwezo wa kumsoma mtu mi naamini ukiamua kuwa serious south wiki1 tu unapata cha kufanya sema wewe inaonekana unaogopa kuzungumza na watu maisha yanakutaka uumie mtoto wa kiume


[HASHTAG]#MACHOZI[/HASHTAG],JASHO,NADAMU

yaan lazma lazma uumie uoambane ikiwezekana ujitowe mhanga kbsa fikiri m tu aliye fanikiwa lkn alilala nje miez6 alidhoofu,akaugua na kupona bila tiba huyo hata mafanikio yatamfata2 hatakama yeye aligoma kuyafata [HASHTAG]#HUSTLES[/HASHTAG] muhimu blaza

Mama atakuona pimbi ukiludi ukamwambia umefail sababu ulikosa cha kufanya.
Mi binafsi nililala 20... Ubungo jengo la abilia miezi3 kabla cjapata gheto kibangu kule hapo ndio nipo nchi ni we unakula kbsa hata stless huna unapata na mdau wa kukuamini kukupa na cmu utujulishe unashindwa kusakua michongo Mimi mara ya kwanza nadondoka Sa niliomba blaza mmoja mzimbabwe msaada pa kulala ili kesho niamshe toka tunaanza safari harate jamaa alikataa tulikaa siti hapa na hapa jamaa akawafull masimu nn baadae nikajua jamaa ni mkazi kbsa Wa Zmbbwe alienda tu kusalimu hom hapo sijui hata maisha ya huko.
Sielewi Tania za wazimbabwe wala nn ile tunafika Jo'burg jamaa mwenyewe ananiomba niongozane nae hapo sielewi chochote lkn ukinicheki huwezi kuzan kama ni mgeni jamaa mpka tunafika him kwake ananiuliza kama shawahi kuishi huko namwambia hapana jamaa aamini anauliza kama nishawahi kuwa mwanajeshi namwambia wapi jamaa inabidi aanze kuniogopa lkn flesh tukalala asubuhi nikamuaga naenda kuzianza alakat jamaa aamini ananiomba niskilizie ghetto kwake mpaka nipate gheto.


Safar znamengi mengine huwezi ambiwa na watu jamii yangu maisha haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom