TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Screenshot_20210727-162919~2.png

Kuzaliwa ni bahati, kufa ni lazima...

R.I.P Sophia
 
Uongo huo unafanya ndugu walazimishe madaktari kutokuwapa wagonjwa wao oxygen. Eti oxygen inaua... Ni UONGO. Oxygen kwa kiwango anachopewa mgonjwa hospitali hawezi kuua.
Uongo wangu nini maana case za wengi ku survive huwa ndogo hata kwa ndugu yangu ilitokea baada ya kuwekwa humo na hakutoka salama hata kwa hawa wa covid asilinia kubwa tu
 
Unavyopewa O2 maana yake hali yako siyo nzuri in the first place. Kama hali yako ni nzuri utahitaji supplemental O2 ya nini? Kwa hiyo with or without O2 bado kwa hali yako uwezekano wa kuondoka ni mkubwa. Siyo kwamba unaondoka kwa vile O2 inaua.
Uongo wangu nini maana case za wengi ku survive huwa ndogo hata kwa ndugu yangu ilitokea baada ya kuwekwa humo na hakutoka salama hata kwa hawa wa covid asilinia kubwa tu
 
Back
Top Bottom