Somalia kuna vocation marriage

Somalia kuna vocation marriage

Ikiwa kweli Allah kasema kwamba atawaziba watumioyo , machona masikio, ili wasimjue, na hawa msihangaikenao, na kisha atawahukumu kwa kutomjua, utakubalikwamba huyo Allah si Mungu ni hadithi za watu tu?

Tukubalianehilo kwanza, kabla sijaleta aya.

Nisije kuleta aya ukanibadilishia kibao hapa.
Katika Quran kuna aya inasema kuwa mayahudi na manasara wataingia peponi. Sasa ukiniambia kuwa ukiniletea hii aya basi nikubali kuwa myahudi au nasara itakuwa ni ujinga. kwa sababu hujui nini kimesemwa, hujui context nzima ikoje.

Sasa wewe lete hio aya tuianalyze.

Hivi kwa akili zako finyu, Mungu kuadhibu ndio sababu ya kuwa hayupo?

Tunasubiri hio aya tuione hapa....
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, anawezaje kumzuia kiumbe wake asimjue huyo Mungu, kisha akamuadhibu huyo kiumbe kwa kutomjua yeye Mungu?

Yayumkinika hiyo habari?
 
Umeshajikita kwenye "muumbaji" kabla ya kuwa na ushahidi wowote kwamba kuna "muumbaji".

Nikama umekuta janila muembe limeanguka mlangoni mwako, limepeperushwa na upepo kutoka kwenye mti.

Halafu unaanza kuuliza "aliyelileta jani hili mlangoni mwangu ninani?"

Kama vile ushajua jibu lazima litakuwa kwenye mtu/ kitu chenye uhai na utashi wa kuleta jani kwenye mlango wako.

Wakati janilinawezakuwa limepeperushwa na upepo tu.

Sualazima la "muumbaji" limetokana na fikra zenye msingi mbovu kama huo.
Mbona we mara nyingi unakosea mifano yako? haina maana kabisa.

Jani nikilikuta mlangoni kwangu sio lazima niseme nani kalileta, kwa sababu zipo possibilities tofauti. Nitafikiria upepo kwanza kabla ya mtu kwa sababu kama kuna mti au miti karibu inawezekana kuwa hilo jani limeletwa na upepo tu.

Hapo umedhihirisha kuwa una akili finyu ndugu... mawazo yako ni madogo mno, na ndio maana ukafananisha Mungu alokuwa sio kiumbe, na pembe tatu. Mfano bogus na ulofeli kabisa.\

Nimekuuliza swali simple kabisa, Je ulimwengu unae Muumbaji? Sasa kama hauna Muumbaji unasema tu "hauna Muumbaji" kama unae unasema "yupo Muumbaji". Hebu basi tuone jibu lako
 
Mpwa mimi sitaki kuamini, nataka kujua.
Aaha sawa. Masuala ya Mungu yanahusu imani kama hutaki imani unataka kujua tu haiwezekani, nomino yenyewe ( Mungu ) ni dhahania. Haiwezekani kumhusisha Mungu bila imani, nje ya imani hakuna Mungu. Mungu yupo tu ukiamini. Mimi naamini uwepo wa Mungu na yeye ndio mjuzi zaidi. Inaingia akilini kuamini kwamba Mungu yupo. Ila kama huamini ni vigumu au haiwezekani kabisa kumjua Mungu. Labda ipo siku utajua mjomba inshallah.
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, anawezaje kumzuia kiumbe wake asimjue huyo Mungu, kisha akamuadhibu huyo kiumbe kwa kutomjua yeye Mungu?

Yayumkinika hiyo habari?
Lete aya... naona hadi sasa hujaleta aya... unazunguka mbuyu tu. Mi nasubiri hio aya tu niione
 
Mbona we mara nyingi unakosea mifano yako? haina maana kabisa.

Jani nikilikuta mlangoni kwangu sio lazima niseme nani kalileta, kwa sababu zipo possibilities tofauti. Nitafikiria upepo kwanza kabla ya mtu kwa sababu kama kuna mti au miti karibu inawezekana kuwa hilo jani limeletwa na upepo tu.

Hapo umedhihirisha kuwa una akili finyu ndugu... mawazo yako ni madogo mno, na ndio maana ukafananisha Mungu alokuwa sio kiumbe, na pembe tatu. Mfano bogus na ulofeli kabisa.\

Nimekuuliza swali simple kabisa, Je ulimwengu unae Muumbaji? Sasa kama hauna Muumbaji unasema tu "hauna Muumbaji" kama unae unasema "yupo Muumbaji". Hebu basi tuone jibu lako
Unapouliza "je ulimwengu unaye muumbaji?" unauliza swalilile lile "je jani lina aliyelileta mlangoni?".

Ila kwa sababu unatumiamantikifinyu, huoni hilo.
 
Unapouliza "je ulimwengu unaye muumbaji?" unauliza swalilile lile "je jani lina aliyelileta mlangoni?".

Ila kwa sababu unatumiamantikifinyu, huoni hilo.
Kwaio suali ili liwe sahih liulizwe vipi?
 
Aaha sawa. Masuala ya Mungu yanahusu imani kama hutaki imani unataka kujua tu haiwezekani, nomino yenyewe ( Mungu ) ni dhahania. Haiwezekani kumhusisha Mungu bila imani, nje ya imani hakuna Mungu. Mungu yupo tu ukiamini. Mimi naamini uwepo wa Mungu na yeye ndio mjuzi zaidi. Inaingia akilini kuamini kwamba Mungu yupo. Ila kama huamini ni vigumu au haiwezekani kabisa kumjua Mungu. Labda ipo siku utajua mjomba inshallah.
Unaweza kuamini kitu mbacho hakipo kipo?
 
Kwanza umekubali na kuelewa kwamba swali lililoulizwa awali si sahihi?
Swali liloulizwa ni sahih kwa asilimia 100? na hata wanasayansi wanajiuliza swali hilo hilo.

Jibu Swali, Ulimwengu una Muumbaji au Hauna?
 
Swali liloulizwa ni sahih kwa asilimia 100? na hata wanasayansi wanajiuliza swali hilo hilo.

Jibu Swali, Ulimwengu una Muumbaji au Hauna?
Asilimia 100 unaijua? Asilimia 100 ya nini?

Nakwambia hivi, swali lako lina a priori fallacy. Halafu a priori fallacy imetengeneza logical non sequitur fallacy.

Yani nikama vile umefikiri kwamba inawezekana kuna CHADEMA wanaompinga Magufuli, mimi nampinga Magufuli, kwa hiyo mimi nilazima nitakuwa CHADEMA.

3.1a

The a priori - fallacy occurs when someone decides ahead of time what the conclusion to an argument is, then only considers evidence that supports that conclusion, or twists what evidence there is to support the predetermined conclusion.

For example, in the early 1950's during the Communist "witch hunts" some people determined ahead of time that communists were in sensitive positions in the government. If a government agency did something the anti-communists disapproved of, they took it as proof of the communist infiltration. If a government employee disagreed with the anti-communists, that was evidence the employee was a communist. Accused persons were often given little chance to defend themselves because, after all, they would just lie. If an accused person denied being a communist that was proof he was a communist because, of course, a communist agent would deny being one. The investigator's minds were made up ahead of time and they would not be swayed by evidence.
 
Mimi nasema Ulimwengu una Muumbaji, Je wewe unaamini kuwa ulimwengu una Muumbaji?
 
Ndio ninaweza kuamini. Msingi wa imani hautoi nafasi ya kujua kama kitu hakipo.

Safi sana, naheshimu majibu yako yanayojikita kwenye uchambuzi.

Naomba tutumie Socratic method ya kutafuta ukweli kwa kuuliza maswali na kuyajibu kwa undani.

Sasa, tuendelee na mjadala vizuri.

Ikiwa umekubali kwamba tukitumia imani tu, tunaweza kuamini kitu ambacho hakipo kuwa kipo, kimsingi umekubali kwamba, kwa kutumia imani tu, unaweza kuamini Mungu ambaye hayupo yupo.

Sasa, unapoamini Mungu yupo, unawezaje kujiridhisha kwamba Mungu huyo unayemuamini yupo, yupo kweli, na huamini tu kama sehemu ya imani ya kuamini visivyopo kwamba vipo?

Maana tushaona imani inaruhusu mtu kuamini kisichopo kama kipo.

Sasa, ukiamini Mungu yupo, unajiridhishaje kwamba yupo kweli, na si imani tu ya kuamini kisichopo kipo?
 
Somalia umeenda mbali sana. Mbona haya mambo yanafanyika sana hapo Zanzibar na waarab kutoka Oman.
Wanapofika Zanzibar hupatiwa wasichana mabikra na kuwaoa kwa muda kwa matumizi ya NGONO. Muda wao unapoisha huondoka zao na kuacha watoto wa kike wakitaabika na familia zao.
Zanzibar kuna Mawakala kabisa wa kutayarisha hizo ndoa fake.
Mkuu umeshindwa kuweka maelezo yako vizur nafkiri ni hadithi unazoziskia kutoka kwa watu kuhusu mahala flani na wew ukaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini Ulimwengu una Muumbaji, nataka kujua msimamo wako juu ya ulimwengu, je una muumbaji au hauna muumbaji?
Kwanini swaliliwe "una muumbaji" ?

Kwaniniunauliza swali kutoka mtazamowa "muumbaji"?

Swalihili linatokana na ufinyu wa mawazokwamba ulimwengu nilazimauanzishwe na "muumbaji", habarihiziunazipata wapi, umejiridhishaje kwamba zina usahihi?

Umesema unataka kujua msimamo wangu.

Msimamo wangu ni.

1. Maswali yasijibiwe kwa imani
2. Maswali yachunguzwe na kujibiwa kwa ujuzi
3. Habari za kuwepo Mungu ni imani, si ujuzi
4. Habari hizi zichunguzwe, zipimwe, zihakikiwe
5. Hiki ndicho ninachofanya hapa
 
Mkuu umeshindwa kuweka maelezo yako vizur nafkiri ni hadithi unazoziskia kutoka kwa watu kuhusu mahala flani na wew ukaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sikurupuki na sibishani na watu wa aina yako mkuu!
Tafuta hizi taarifa kwa wahusika huko Zanzibar utapata fursa ya kujifunza mawili matatu.
Haya mambo yanafanyika sana huko. Ni kama mnavyofanya kwa kutifuana "Washeli" na "Ziro" kwa usiri wa hali ya juu. Nenda kamuulize Sheikh Nyundo atakueleza malalamiko anayopata kwa wakina mama na watoto wa kizenziberi.
 
Kwanini swaliliwe "una muumbaji" ?

Kwaniniunauliza swali kutoka mtazamowa "muumbaji"?

Swalihili linatokana na ufinyu wa mawazokwamba ulimwengu nilazimauanzishwe na "muumbaji", habarihiziunazipata wapi, umejiridhishaje kwamba zina usahihi?

Umesema unataka kujua msimamo wangu.

Msimamo wangu ni.

1. Maswali yasijibiwe kwa imani
2. Maswali yachunguzwe na kujibiwa kwa ujuzi
3. Habari za kuwepo Mungu ni imani, si ujuzi
4. Habari hizi zichunguzwe, zipimwe, zihakikiwe
5. Hiki ndicho ninachofanya hapa

Stephen hawking, yeye hakuwa akizunguka zunguka. Alisema kuwa Mungu hakuumba ulimwengu. Hakuwahi kuwaambia watu kuwa swali lao ni priori fallacy badala yake alijikita kwenye kujibu swali kwa sababu alijiamini. Ila mwenzangu, wewe mpaka leo umeshindwa kuzungumzia msimamo wako ama kuutetea msimamo. Unaleta visingizio vingi kuepuka kujibu masuali unayouliza.

1) Unasema kuwa maswali yasijibiwe kwa imani, cha kushangza, sijawahi (au sikumbuki) hata siku moja kukujibu kwa kutumia aya kwenye Quran, badala yake, wewe ndie uliekuwa unaleta references kwenye vitabu vya kiimani.

2) Muda wa kuchunguza swali unao wa kutosha, unaweza ukatwambia, swali hili nahitaji muda kulijibu, tutasubiri.

3) Habari za kuwepo Mungu sio imani tu, ni ujuzi pia.

4) Habari unazotaka zipimwe ni zipi?

5) huo nao ni msimamo?

Nimekuuliza swali, ni upi msimamo wako juu ya Ulimwengu, je umeumbwa au hauna muumbaji? unanambia msimamo wako juu ya hilo ni maswali yasijibiwe kiimani? huo ni msimamo ndugu yangu? hivi kuna pahala umezuiliwa kujibu kutotumia imani?

Mimi tangu naanza kujadiliana na wewe as far as i know sijawahi kutumia imani yangu kukwambia kuwa Mungu yupo.

Kwa UWAZI KABISA, NIJIBU SWALI LANGU BILA KUTUMIA IMANI;

Je ULIMWENGU UNA ALIEUUMBA AU HAUKUUMBWA?
 
Back
Top Bottom