soma hii...uelimike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

soma hii...uelimike!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by jockey emmanuel, Nov 3, 2011.

 1. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MAMBO 3 FANYA KWA KUFIKIRIA SANA
  1.Mapenzi
  2.maongezi
  3.maamuzi

  MAMBO 3 USIYAONE MEPESI
  1.deni
  2.majukumu
  3.maradhi

  VITU 3 HAVIMNGOJI MTU
  1.mauti
  2.wakati
  3.umri

  ICHUNGE MISINGI 6 YA MAFANIKIO
  1.USIMCHUKIE MTU YEYOTE HATA KAMA ATAKUKOSEA VIPI
  2.ISHI MAISHA YA KAWAIDA HATA KAMA UPO JUU KWA KIASI KIKUBWA
  3.TARAJIA KHERI HATA KAMA MITIHANI YA MAISHA INAKUSAKAMA
  4.TOA KWA WINGI HATA KAMA WEWE UMENYIMWA
  5.ONESHA TABASAMU HATA KAMA MOYO UNAVUJA DAMU
  6.USIACHE KUMUOMBEA KILA MTU HATA KAMA HAKUHUSU
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Ahsante

  Ila suali langu dogo tu nisaidie "Maisha ya kawaida" ndio yepi?
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Thankx Mkuu, Umegusa haswa pale panapotakiwa.
   
 4. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 469
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii ni kweli kabisa
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye bold ndio panapoimaliza tanzagiza mpaka sasa hivi mlinganishe na baba riz..
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  kuna kitu nimejifunza hapo, asante bandugu...
   
 7. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli,lkn kuonesha tabasamu haimaanishi kuwa usipiganie haki yako mkuu
   
 8. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maisha ya kawaida ni yale ambayo mtu anaishi bila ku-show off kile alichonacho
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Asante sana mkuu kwa haya
  ni kweli kabisa
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,096
  Likes Received: 3,865
  Trophy Points: 280
  asante, 'education has no end'
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  elimu nzuri hii, thanks.
   
 12. C

  Chibwera Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani nimepata kitu
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ​ahsante mkuu kwa darasa dogo lenye mantiki
   
 14. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red .... mhh ngumu kumeza, ila imekaa poa
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,524
  Likes Received: 2,443
  Trophy Points: 280
  Ongezea na hii

  usitoe ahadi ukiwa na furaha sana, pia usitoe uamuzi ukiwa na hasira sana. Nyingi hazitofanikiwa.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asantee!
   
 17. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nitafanyaje mapenzi huku nafikiria sana? Hii inawezekana kweli? Mi naona nitashindwa hata kufurahia hayo mapenzi kama nitakuwa nafanya kwa kufikiria.
   
Loading...