Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Pale pangekuwa pakubwa ningeshauri wajenge mall kama mlimani cty

Ni padogo, Mall huwa zinataka parking space kubwa sana. Kwanza Mall ni mfumo unaofaa sana USA kwa jinsi miji yao ilivyopangwa. Lile eneo ni kama ekari tatu, ni dogo lakini ni kubwa kuliko eneo la soko la Kariakoo lililoungua
 
Usifananishe mikoa. Ukiangalia lile jengo la Kariakoo lililoungua na soko la pale mjini kati, unaweza kuta mapato ya lile soko la Mbeya yalikuwa makubwa zaidi.
Nimecheki soko la kariakoo Kwa mwaka 2019/2020 mapato ilikuwa 3.3 billion Hilo la mbeya haliwezi kuwa na mapato zaidi ya soko kuu la kariakoo
 
Nimecheki soko la kariakoo Kwa mwaka 2019/2020 mapato ilikuwa 3.3 billion Hilo la mbeya haliwezi kuwa na mapato zaidi ya soko kuu la kariakoo
Hiyo imetoka Kariakoo yote au humu tu.
3490223031_04b0b8b706 (1).jpg
 
Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
soko lililoungua Mwanjerwa wakinga wakalia sana baada ya paka wao kuungulia kwenye maduka, lilishajengwa soko jipya la Mwanjerwa. Sido pia iliungua, na pale sido panaitwa Soko la Makala. ni soko gani la mbeya unaloliongelea nje ya maeneo hayo? kama unaijua mbeya.
 
sido liliungua kipindi Makala akiwa Mkuu wa Mkoa, nilikuwa kule mbeya kipindi hicho, na walijenga pakaitwa soko la makala hadi leo. lini liliungua tena hilo soko la sido?
Before hio awamu lishaunguaga mzee fatilia vyema
 
Back
Top Bottom