Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

mwanakijj kuna swali ameuliza Binti Maringo hapo juu niko enterest kupata majibu yake
FL1
 
Ni wakati MUAFAKA sasa CCM ipasuke. Chama kinachoshika DOLA hakipaswi kuwa hivi.
 
i love that day our lovely ccm will split,but when???????
kuna watu wanaichelewesha furaha yangu,ila ipo siku........
 
Nilivyomsoma huyu Sophia Simba kafanya mambo ya kitoto.
yote aliyoongelea ni historia alikuwa.......alikuwa..........
Hajasimama kama Waziri, ni umbea umbea ambao ameutoa
kwenye wizara anayosimamia na kuja kuupachika pale.
 
Huyu si ndiyo yule mama uliyemfanyia interview mwaka jana mwanakijiji kwenye radio yake alafu akachemsha sana tuu alafu ukamtetea?au namfananisha?.

Kulikoni now?.

hapana ndiyo huyo huyo.. nilimtetea kwa sababu mashambulizi dhidi yake yalikuwa nje ya mstari.
 
Nyota Sophia Simba mnamjua kabisa kwa hiyo msishangae kuwatetea mafisadi walio mweka madarakani ana rudisha fadhira.
 
It's only in Tanzania where a person like Sophia Simba can become a leader and a cabinet minister for that fact. Mama kakaa kama muimbaji wa taarabu na hata maneno yake saa nyingine uta fikiri ni nyimbo za akina Hadija Kopa. If it wasn't for her being a minister i wouldn't waste my time on her.
 
Mwanakijiji, be fair to Sophia Simba, mbona husemi kasema nini jana?. Kwa kusaidia huyu mama katapika mbovu, kaiponda ripoti ya kina Mwakiembe haikuwa ya nia njema. Kamponda mama Kilango kuwa alikuwa akiuza madawa ya kulevya. Kaponda Mzee Malechela kwa kampeni yake kuutafuta urais ilifadhiliwa na Jeethu Patel fedha za ufisadi wa Epa. Kamponda Spika Sitta ndiye aliyeileta Richmond alipokuwa TIC, Kaisoma barua nzima ya Kashilila kwenda Takukuru kuhusu Posho mbili na kuonyesha unafiki wa Spika Sitta, kathibitisha wamefanya uchunguzi na kuthibitisha hakukuwa na rushwa kwenye richmond, ndipo kashauri ufanyike uchunguzi huru kuweka mambo sawa. Hili ndilo kosa lake?.

Pasco.. sofia alisema nini kuhusu wizi wa Benki Kuu wa EPA? amesemanini kuhusu Meremeta? amesema nini kuhusu Richmond kuwa ni kampuni Hewa? amesema nini kuhusu Dowans kuwa ni kampuni hewa? vipi kuhusu Deep Green Finance, Mwananchi, na Loliondo?

Kwake yeye maelezo yake ni "nyinyi wote ni wachafu na tunajua historia yenu kwa hiyo hamna haki ya kutuonesha uchafu wa wengine"? Ndio utawala bora huo?
 
Sijui kama alilouliza binti maringo ni sawa na la kwwangu, ila mimi ningependa kujua kwa kina aliyoyasema mpiga debe was mafisadi, Sofia Simba alipokutana na Kamati ya mzee Mwinyi.
 
mwenyewe anajitta "mtoto wa mjini" hakopeshi. Na kama ni kuwapasha watu jana amewapasha watu.

Na kweli ni mtoto wa "Mjini" hata akiwa anaongea hana pozi kabisa ya ki-waziri,vidole juu utadhani yupo Travertine kwenye maonyesho ya taarabu. Alipaswa Naibu wake awe Khadija Kopa lol!
 
I truly think that the likes of this Fisadi Sofia Simba must gracefuly relinquish the position and go for Tanzania to realise the so called 2025 vision. This country needs a change. "He who rejects change is the architect of decay. The only human institution which rejects progress is the cemetery". ~Harold Wilson
 
I truly think that the likes of this Fisadi Sofia Simba must gracefuly relinquish the position and go for Tanzania to realise the so called 2025 vision. This country needs a change. "He who rejects change is the architect of decay. The only human institution which rejects progress is the cemetery". ~Harold Wilson

Sophia SImba anaweza asiwe fisadi kama tuwa juavyo. Tatizo ni kwamba yeye ana tegemea watu kubaki alipo na ni lazima awa tetee hao watu. Sophia Simba ni samaki mdogo sana. Trust me she is a non issue. Tatizo ni kwamba yeye ni waziri na anafanya mambo kama mswahili.
 

Sophia SImba anaweza asiwe fisadi kama tuwa juavyo. Tatizo ni kwamba yeye ana tegemea watu kubaki alipo na ni lazima awa tetee hao watu. Sophia Simba ni samaki mdogo sana. Trust me she is a non issue. Tatizo ni kwamba yeye ni waziri na anafanya mambo kama mswahili.


Malizia basi mkuu, ...na ametumwa na mswahili mwenzake!
 
Ila ninashangaa magazeti ya leo hawajaandika huyu mama wametaja Sendeka, Mahanga, Kimiti na n,k labda aliongea muda umepita sana.
 
Tupeni alichokisema ili kuepuka kumjadili yeye. Naamini hakuwa peke yake kwenye uropokaji huu. Wamo akina Mahanga,....Kikao hiki ni muendelezo wa NEC iliyopita ya CCM.
 
Back
Top Bottom