Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Ndg Pasco!!!!

On the other side, amini nawaambieni,
Lowassa is not that bad (Kindly tell us why and how prove ur statement plz?) na wapiganaji are not that clean(Since when those heros are clean??),
nao wanaufisadi wao na agenda zao( Agenda gani mwaga hapa tuone??)

Just to remind u Pascooo labda kule Monduli ndio ana uzuri peke yake laki kwa wilaya zingine za Mkoa huuooo wa Arusha wanamfahamu fika alivyo noma, alikuwa akiwafukuza watendaji bila kuwasikiliza na kawaulize wakandalasi walivyokuwa wakitendwa na na maaamuzi yake na kuweka watu anao wajua wao,

Huyo Sofia Simba ni utata mtupu ni bora ajiuzuli tu ingawa desturi ya viongozi wa TZ hawajiuzuru ng'oooooo hata msemeje
 
Sofia Simba, mwenyekiti UWT, Makamba katibu mkuu CCM..? Hapo kweli kichwa cha mwenda wazimu
 
Mkubwa hawezi mtupa huyu...ni mtaliki wa Kitwana Kondo.......KK ndio alimleta JK mjini toka Nachingwea na kumkabidhi kwa Mwinyi akapata u deputy minister 1989.....sasa ataachaje kulipa fadhila?....Leo ndio mtasikia mengi Dodoma...
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.

Huyu mama anaweza kwenda, ebu niambie nani anatakiwa kubaki katika hali ya sasa

Ikiwa ungeunda serikali leo kutoka bunge la sasa, unadhani ungepata japo mawaziri wa kutosha wizara 10? Sijauliza kuhusu raisi na waziri mkuu wake, maana makamu wa raisi ukiacha matakwa ya kikatiba hata asipokuwepo hamna tofauti
 
Kwa nn JK anaonekana yeye ni wakulipa fadhila na mtu aliyebebwaa tuu kufikia hapo alipoo??

Mkapa alibebwa na Mwalimu na fadhila kiasi gani alilipa kwa Mwalimu na nduguze, marafiki, wapambe zake?????
 
Huyu mama anaweza kwenda, ebu niambie nani anatakiwa kubaki katika hali ya sasa

Ikiwa ungeunda serikali leo kutoka bunge la sasa, unadhani ungepata japo mawaziri wa kutosha wizara 10? Sijauliza kuhusu raisi na waziri mkuu wake, maana makamu wa raisi ukiacha matakwa ya kikatiba hata asipokuwepo hamna tofauti

Hoja yako ni nzito kwa sisi tunaoangalia tatizo ktk dimension tatu. Maana unaposema SS hafai ktk sirikali ya CCM , je nani basi anafaa? Mimi binafsi sioni hata mmoja!
 
Mkubwa hawezi mtupa huyu...ni mtaliki wa Kitwana Kondo.......KK ndio alimleta JK mjini toka Nachingwea na kumkabidhi kwa Mwinyi akapata u deputy minister 1989.....sasa ataachaje kulipa fadhila?....Leo ndio mtasikia mengi Dodoma...

Sadly, hivi ndivyo nchi inavyoendesha, tangu enzi za mwalimu ..hakuna system robust serikalini inayo-encourage competition popopte pale. Kila nyanja, ni kubebana na kupeana vimemo, halafu eti tunaketi chini tunasubiria maendeleo..thubutuu!

We are doomed into sheer poverty until the end of times.
 
sirikali yetu hata kama wamechemsha huwa hawajiudhuru ,,mtakuwa mnampigia mbuzi gitaa
 
Nyauba,

Lazima uelewe kuwa 'favours kill faster than a bullet'(Al Pacino ktk Carlito's Way).Sio JK peke yake aliyetakiwa kulipa fadhila...hata Mwalimu...umesahau hizi familia alizozibeba(Kisanji wawili baba yao alikuwa Bishop TABORA yeye akiwa anafundisha,Mwapachu wawili,the Sykes ambao ndugu yao Abdulwahid RIP ndiye aliye mnunulia suti yake ya kwanza etc)

Mwinyi alipoutema Uwaziri in the 1970s ni KK aliyemsitiri na sidhani kama nahitaji kukueleza KK alikuwa mtu gani 1985-1995

Mkapa na kina Ferdinand Ruhinda,Amy Mpungwe etc and the culture goes on....
 
It's only in Tanzania where a person like Sophia Simba can become a leader and a cabinet minister for that fact. Mama kakaa kama muimbaji wa taarabu na hata maneno yake saa nyingine uta fikiri ni nyimbo za akina Hadija Kopa. If it wasn't for her being a minister i wouldn't waste my time on her.
Haswaa na tusisshangae kwanini tunashindwa kusonga mbele.Imagine mtu asiyejua lolote zaidi ya umbea tu anaongoza wizara yenye kubeba dhamana ya usalama na ustawi wa Taifa letu.Kama mbinu inayoendelea kutumika mpaka leo ni kujua nani anakunywa pombe gani ili tukianzisha vikao tumpashe basi lile jicho ambalo linaendelea kunisononesha ni afadhali kuling'oa na kulitupa motoni.Bora nikiwa chongo.
Nikiangalia jitihada za kufunika kombe ili kuwasafisha watu wanaotuhumiwa zilivyo za kijinga, nashangaa uwezo wa strategists wetu kwenye nyanja adimu kama science na technology au hata masoko tu ya mazao yanayooza katika mikono ya wakulima.Watu kama hawa wanaweza kuja na strategy za kuwa beat Kenya ili soko la chai yetu likue? watu kama hawa wanaweza kuja na strategy za kuwezesha nyama ya Tanzania kuuzika kwenye world market?
Lakini taratibu tunaanza kujua tatizo..sio field officers! Ni leadership problem!!
I doubt uwezo wake wa kuongoza!!
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.

mwanakijiji acha uchochezi, tangu lini umeanza kumtuhumu mtu na kumtaka ajiuzulu bila kuwaambia wana JF sababu?, au unafikiri tulikuwepo wote kwenye kikao?

kama huwezi kunukuu basi naomba topic hii ifungwe!!!
 
Huyo mama ni chombo/tool anatumiwa. Ni kama vile chewing gum inatumika pale inapokuwa tamu. Ikiisha utamu hutupwa. Huyo mama hana jipya tokea kuwa kimada wa Kitwana Kondo mpaka kuwadi kwa wake za watu. Huyu mama ana historia chafu mno kuelezea. Lakini ndio hivyo tena. 2010 sijui itakuwaje. Yeye na Muungwana they have a lot in common ndio maana ni mtu wake wa karibu sana.
 
Kilbark,
Kabla ya kufika huko kwenye uchafu wa huyo mama, unaonaje ukitujuza na akina siye ambaye hatukuwepo kwenye mkutano utumbo aliyoutoa huyo mama. Maana tuko gizani ati.
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
wewe nawe vipi tena? one days fulani hapa uliiunua bango watu walipomwagia sumu da Sophy.....leo wamgeuka tena?......afu kujiuzulu ni msamiati kwa wezi wa tanzania.....
 
Najani eeeeeeeh!!! mbona mimi niki post Haziingii katika Jamvi? au mambo ya Password baada ya Ku Contribute????
 
Back
Top Bottom