Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Nilifikiri birthday ni November 11? LOL

On a serious note acheni kuingia personal.

Moderators naomba tufunge huu mjadala
 
Mkuu, kumbe Mwalimu alikuwa kiuwembe enhee...tupe basi ushahidi alijirusha na nani...hii haihitaji DNA kama ya Mama Sophia...kumbuka wewe ni Mzee wa facts na unaongea facts tu...prove your self, eti Nyerere alijirusha na nani...?

Mkuu unamkumbuka LUCY CELINA LAMECK?

Alikufa na nini vile?
 

Mkuu FMES,

Nimekuelewa mkuu na hakuna tatizo; tuendelee kukata issues. Kinachotokea kwenye hii mikutano ya viongozi wa CCM kwa kweli kinasikitisha mno. Nimejiuliza mara nyingi wiki hii, imekuwaje hawa watu ndio wakawa viongozi wa nchi yetu?

Bahati mbaya sana ikifika 2010 tutawarudisha watu hao hao ili waendelee kuropoka na nchi iendelee kuwa hoi bin maskini.

Mambo mengine sio tu yanafehedha chma, bali yanatufedhesha hata sisi wananchi wote.
 
Usalama wa Taifa uko chini yake na anayewajua yeye wanne.Huyo wa tano nani?

Hata wewe huwezi kusoma kuwa kataja majina zaidi ya manne hapo kwenye hiyo habari - kwa jinsi ilivyoandikwa hapo juu?
 
Guninita sio wa kwenda Mirembe bali ni wa kusaidia madaftari na kalamu afaulu elimu yake ya sekondari anayosoma kwa sasa!

Hao wengine naona waenende Mirembe maana nijuavyo chama kinatafuta wanachama na sio kuwakana wanachama.

Hii ilikuwa nafasi kwa CCM kucheck kama Mengi ni mwananchama na kama sio mwanachama basi kumfuata ofisini kwake na kumpatia kadi.

Sasa huyo kichaa mwingine anakurupuka na kumkana mwanachama wetu!!
 
Hapa kuna more tha what meets the eye, kuna internal infighting, kuna factions na agendas ambazo hazisemwi wazi.

CCM wanataka kutuambia kwamba wana rekodi zote za wanachama wote kutoka 1977? Really? Hata kama wangekuwa na databases za computer hili lingekuwa na shaka, sembuse vidaftari na ledgers vyao.
 

well said .....
 
Mengi kaanza kuto tambuliwa na anao wapa mapesa kushinda na kududumiza haki za watanzania , kesho wana weza kuanza kumhoji uraia wake .Maana hawa jamaa hawakawilii
 
- Maviongozi goi goi, yanashindwa kuongoza taifa yanaanza kulilia Mengi, what Mengi has to do na uozo wa viongozi hawa? Taifa halieleweki, Waziri Mkuu nani Rais nani wananchi ni nani wafanyabiashara ni nani hakieleweki, ishus za serikali unaweza kumuingiza anybody it is okay, hivi Rais wa nchi hii yuko wapi?

- Onetime Gobarchev, alienda US akiwa Rais wa USSR alipofika JFK wakamletea Donald Trump kumpokea, akawauliza huyu mtu ni nani kwenye serikali wale arrogants wakamjibu eti humjui Trump? Mrusi yule masikini ya Mungu hakuelewa kabisa kwamba what Trump has to do na serikali?

- Sasa look Tanzania, nilisema huko nyuma vacuum ya uongozi, kila mtu anajaribu ku-fill in walianza na Mahakama ya kadhi, ikaja waraka wa Katoliki, ukaja waraka wa Wasilamu, mafisadi na NEC, sasa kamati ya Mwinyi, Mawaziri wanaongea huko kama wananchi wa vijijini wasio elewa lolote, wasiokuwa na power yoyote, hakuna kunachoeleweka Rais ndio kwanza atashuka New York anytime, dalili zote sasa ziko wazi kwamba mafisadi wako on the way to take over, kweli huyu Lowassa ni hatari sana,

- Lakini ninaomba kumtumia ujumbe mzito sana Lowassa na kundi lake ambao wengine wapo humu JF, hili taifa sio lenu nyiyi tu na hela zenu za ufisadi, sio kweli kwamba wabongo tutakaa pembeni na kuwaacha mkituvuruga, tutafika mahali tutawavuruga pia na hayo madaraka mnayolilia hamtapata kamwe, maana sio sisi wananchi wote ni wajinga kama hawa mnaowapa hizo hela zenu chafu!

Respect.

FMEs!
 
Nchi ipo kwenye Auto Pilot...

Mwenye meno anatafuna. JK safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana!
 
habari za nyongeza kutoka ndani ya kikao dodoma

jamanihakuna jambo ambalo halikuzungumzwa mzindakaya ndie aliependekeza lowassa,rostam waitwe na mjumbe mwingine akasema bila kumsahau membe na speaker .
hiovyo sophia katika kujibu hiyo hoja akasema jamani hakuna jambo linaloshangaza kama anavyosikia edward edward ,edward kafanyia mengi hii nchi lakini hata wanaowanyooshea kidole sio .
-akamtetea mkapa kwa dakika kumi natano kuwa hawezi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uchochezi kutoka nje,kama yaliyotokea kwa chiluba sio rahisi.
pia akasema SFO IMETOA taarifa kamili kwamba chenge hela yake aliipata kihalali na hivyo hana kesi na hatafikishwa mahakamani.
akasistiza kuwa wanaonyoosha kidole na wao sio wasafi
 

Hao ambao si wasafi..si ndio tunataka waende mahakamani yeye ndio anadhamana ..so tunawasubiri waitwe mahakamani vingenevyo..awajibishwe kwa maneno yake ..siyo kupimwa..akili mbona mnampa ujanja wa kujitetea wakili wake anaweza kusema mteja (sophia) hanazo...akishindwa kuwakamata yeye apelekwe mahakamani kwa uzembe..
 

Mkuu, swali kidogo kwako.

Ulikuwa ndani ya hiki kikao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…