HAYA WALE WA VIDOLE JUU MNAYAJUA HAYA????
Sijaona mahali Jeetu alipokanusha madai ya mama Sofia.Kukanusha kama angekataa kuwa hajampa Tingatinga 200M na wala kuchangia harusi yake.
HAYA WALE WA VIDOLE JUU MNAYAJUA HAYA????
Unatakiwa ujue JF kuna watu wa aina gani! Kuna wengine hapo juu wametoa piacha ya mzee Mengi na mwanamke fulani, wengine wakamuita Sofia malaya nk, wapo pia waliotukanana. Unaweza ukaona watu wanafanya vitu kwa makusudi kabisa kudivert attention ya hoja. Hii ni tabia mbaya na haina tofauti na ufisadi. Tuzungumze issue siyo mambo ambayo hayana maana. So km Mengi ana mwanamke??? au Sofia anawanaume sita ya nini???
Field Maeshal aka Hadija Omari Kopa
Huyu mama Sophia pamoja na uchangudoa wake katupa kakj data ambacho katatusaida watanzania kuwajua na kuwachunguza wapiganaji.
ID unamaanisha nini? Huna uhakika na unachoongea kabisa. Mie siongelei kwa kujificha na kwa taarifa hilo ndio jina langu. Nitafute unione sifanani kabisa na watu wanaotangaza kazi feki.- Hakuna anaye-divert anything hapa na hutishi mtu na hii mi-ID yako mkuu, Sophia ameongea bila usahidi lakini yeye ushahidi upo wazi kwa kuzaa watoto wanne na viongozi wanne ambao ni waume wa marafiki zake, watoto wapo this is a fact, sasa na wewe tuletee facts za wizi wa Malecela na mkewe hapa tuwahukumu, otherwise acha longo longo peleka hasira zako za maisha huko.
- Mimi ndiye niliyesema kwamba Sophia hafai kuwa waziri wa Takukuru, kwa sababu yeye maadili ya binafsi sasa itakwua sheria na maadili ya taifa, sasa nielimishe ninacho-divert hapo ni nini? Mimi sitishiki na hii mi-ID yako, muhimu ni hoja na facts ambazo huna! nilitaka kupumzika lakini naona hukubali sasa tuendelee kucheza hii ngoma!
FMEs!
Unajuwa nakushangaa wapi,ww unashabikia usilolijuwa...ukitafari na kuacha haya maneno ya "wavuta bangi" humu JF,utagundua ukweli ninaokwambia...kuwa alichokimaanisha Mama Simba,kwa ufupi tu kuwa,Chama chao cha Mapinduzi (CCM), chote kichafu,manake ni Mafisadi, hakuna yeyote katika wao, as long as yumo katika CCM,atakaejifanya,atakaejitenga na ufisadi huo...sasa kuna watu humo humo wanajida wao siwo,hawamo katika vice hiyo. Wanajidai wao ni "majamadari", "wapiganaji" na "wapambanaji" wa ufisadi...kitu ambacho mimi sitaki kuamini na wala sitaaamini...
- Hili linatuhusu wananchi wote wa Tanzania, CCM ni kweli ni mafisadi sasa sisi wananchi tusiokuwa mafisadi tunawapaje utawala kwa miaka 47? Mkuu wewe si umeelimika hivi kweli unaweza kusimama mbele ya watu wenye akili nyingi ukasema ni viongozi tu ndio mafisadi lakini sio wananchi, huku CCM imechaguliwa for the last 47 years, yaani toka tupate uhuru, I mean you are right sisi wote ni mafisadi, labda tu tunazidiana viwango!
kwa dalili kabisa nikupe mfano...Mwakyembe kahusika ktika mambo ya maamuzi ya sakata la umeme wakati yeye mwenyewe ni mdau binafsi na mjasiria mali wa sekta hiyo hiyo ya umeme (kumbuka ana kampuni yake ya umeme wa upepo) mfukoni na vita vyake na Rostam Aziz,havikuwa vya kupinga ufisadi...vilitokana na mgongano wa kimaslahi kwa kampuni ya Mwakyembe...sasa huyu huu ujemdari wa kupinga ufisadi kaupata wapi wakati yeye mwenyewe fisadi?
- Mwakyembe alichokifanya ni mgongano wa masilahi hilo halina ubishi, sasa na wewe tumabie sheria aliyoivunja ya jamhuri, kwa sababu kamati ya bunge imesema wazi kwamba Rostam na kundi lake wamevunja sheria wanatakiwa kuwajibishwa na hasa Hosea, sasa tuambie ni sheria gani Mwakyembe aliyoivunja na conflict of interest, acha longo longo!
Ndo Mama Simba, akasema kuna watu hawastahiki kuwanyooshea wenzao vidole kwa kuwa wao wenyewe walakini mtupu.
Nyie mmebaki, oooooh changudoa, mwendawazimu...n.k
Hamtazami nini kinaendelea ndani ya chama mnachokisubri kikuleteeni maisha bora...huku viongozi wake wakinyosheana vidole vya uchafu.
WATANZANIA MMESHAPEWA SOMO KUWA CCM YOTE HAIFAWI HAKUNA JEMEDARI WA KUPIGANA NA UFISADI HUMO,WOTE WEZI
WW endelea kucheza mdundiko wenzako wanapiga charanga
- Wananchi wote tuna ufisadi ndio maana tunachagua mafisadi kila siku hiyo sio siri wala huhitaji kuwa professor kuelewa, sasa what is next mkuu, na haibadili ukweli kwamba Sophia hana maadili ya kuwa waziri wa Takukuru, kwa sababu ana matatizo mengi sana ya binafsi anahitaji kuyashughulikia kwanza.
- Na alichoharibu kuliko vyote ni kujaribu kumsafisha Lowassam, hiyo ni aibuu! kwake na kwa wale mnaomshabikia hamtafanikiwa!
FMEs!
ID unamaanisha nini? Huna uhakika na unachoongea kabisa. Mie siongelei kwa kujificha na kwa taarifa hilo ndio jina langu. Nitafute unione sifanani kabisa na watu wanaotangaza kazi feki.
Na sina sababu ya kuongea kwa kukwepa. Mie binafsi nawaona woote vimeo tu huyo Sofia na Mengi pia. Sihitaji kwenda kuongea nao ndio niwafaham. Sofia alisaidia kwenye kampeni na pesa za ufisadi na Mengi ni ndumi la kuwili anahubiri kuwasaidia Watanzania upande mwingine anawang'aka. Ni huyu Mengi wa NICOL na anayeng'ang'aniza uanachama CCM huku akijua fika chama kimejaa ufisadi. So whaaat unataka tumuamini. Hakuna anayeaminika kati yao. Tunahitaji kujenga Tanzania mpya
Sijaona mahali Jeetu alipokanusha madai ya mama Sofia.Kukanusha kama angekataa kuwa hajampa Tingatinga 200M na wala kuchangia harusi yake.
Tanzania mpya si ya kina Sofia Simba. Na hatuwahitaji viongozi wanaoropoka. Vivyohivyo hatuwahitaji watu wanaoendelea kuchangia ufisadi km kina Mengi au wanatumia janja zao kula pesa za maskini. Na hatuna sababu za kuwatetea bali ni kupambana nao na kuwalekeza hatuwahitaji bila kuwaonea haya. Vinginevyo hatuwatendei haki vizazi vijavyo- Hatuwezi kujenga Tanzania mpya na viongozi kama Sophia, haiwezekani mkuu kiongozi yoyote wa taifa anayejaribu kumsafisha Lowassa ni fisadi kama yeye na hatufai, nilichosema ni kwamba sitishiki na Mi-ID mingi kama siafu humu JF, sasa haya yamekugusaje mkuu na wewe huna mi-ID mingi?
FMEs!
Kuishiwa kubaya!...sasa na wewe tuletee facts za wizi wa Malecela na mkewe hapa tuwahukumu...
....muhimu ni hoja na facts ambazo huna! nilitaka kupumzika lakini naona hukubali sasa tuendelee kucheza hii ngoma!
FMEs!
Kuishiwa kubaya!
Ma Mdogo...una divert hoja...kama alivyosema Mkuu hapo juu. Kama wewe umejikunjuwa kutetea...kuumeni...lete hizo facts ulizonazo za nani alichangia na nani hakuchangia harusi na kampeni za urais za Malecelas...honestly.
- Junius mimi sijui nani alichangia na nani hakuchangia na sijui sheria inasema nini kuhusu michango ya harusi na viongozi!, nimeambiwa wengi walichangia including Lowassa na Rostam pia, Jeetu kama alichangia au hakuchangia hawajui isipokuwa hakufadhili ile harusi hilo wamektaa kwamba sio kweli, wala hakufadhili kampeni ya urais, FULL STOP!!
Halafu nakushangaa(as per your name, God really Blest you, FMES) na akuzidishie Neemazake,mpka hapo ujuwe au utakapojuwa kuwa kama Sophia kwake itakavyouwa ngumu kumsafisha Lowassa na Chenge, kadhalika ni vigumu kwa Kilango na Malecela,Mwakyembe na wenzao kuwa wasafi katika chama kichafu...hawawezi kuwa wasafi hata.
- Wananchi wote wa Tanzania ni wachafu ndio maana tunachangua viongozi na chama kichafu kama hoja yako ni kweli, au?
- Uchafu sio wa chama tu, ila ni wa sisi wananchi wote wa Tanzania, ndio maana miaka 47 ya uhuru wetu bado tunawachagua hao hao wachafu, ni kwa sababu na sisi ni wachafu. Eti ni nini huelewi hapa?Zaidi, hizi habari za uchangudoa za Sophia ndo wewe unaona majibu muafaka ya madai aliyotoa...is there any relevance...nawe unaiyona ipo wakati amekubali kuwa wote si wasafi...kwanini unaendele kuwa mkaidi ma mdogo kuwa Kilango na Malecela wamo katika chama kichafu na wao ni wachafu?
FMEs!
Hiyo ya mi ID tumia means zozote unaweza kupata ushahidi. Ninasisitiza msimamo wangu mie si wa kujificha.- Hatuwezi kujenga Tanzania mpya na viongozi kama Sophia, haiwezekani mkuu kiongozi yoyote wa taifa anayejaribu kumsafisha Lowassa ni fisadi kama yeye na hatufai, nilichosema ni kwamba sitishiki na Mi-ID mingi kama siafu humu JF, sasa haya yamekugusaje mkuu na wewe huna mi-ID mingi?
FMEs!
Hiyo ya mi ID tumia means zozote unaweza kupata ushahidi. Ninasisitiza msimamo wangu mie si wa kujificha.
Umetishwa nini?- Hoja kwa taifa mkuu sio mimi hapa ni uwanja wa hoja za kulisaidia taifa sio kutishana!
FMEs!
Hakuna ubishi kama kuna conflict of interest...unataka sheria gani tena?Mwakyembe alichokifanya ni mgongano wa masilahi hilo halina ubishi.....ni sheria gani Mwakyembe aliyoivunja na conflict of interest, acha longo longo!
....ukweli kwamba Sophia hana maadili ya kuwa waziri wa Takukuru, kwa sababu ana matatizo mengi sana ya binafsi anahitaji kuyashughulikia kwanza.
FMEs!
- Hapana hii sio siri, nimekuambia hivi mimi ninamfahamu sophia, wewe unamsikia, ninafahamu kwamba ana mtoto jela ambaye amefungwa maisha kule California, ana mwingine ambaye yuko Canada anaumwa sana lakini hana medical Isurance anasota ile mbaya huku mama ni waziri wa mafisadi, mmoja yuko South Africa anahesabu siku tu za kuishi na mwingine pia ni mgonjwa yupo Dar na wote ninawajua baba zao, now what is your problem na kumjua Sophia na watoto wake! na sihitaji DNA kuyajua haya!
- Ni mi-Id yako ndiyo inakusuta mwenyewe, na ni utoto kwa mtumzima kama wewe!
- Baaada ya kuongea na wanaohusika, wamesema Jeetu hakufadhili harusi lakini huenda alichangia hawajui kwa sababu walichangia wengi sana ndani na nje ya Tanzania. Sihitaji kuwa Malecela na wewe huhitaji kuwa Sophia kumlilia Maleceala na mkewe!au wewe ni Sophia mkuu? Bwa! ha! ha!
- Hayatoshi kumsafisha na nani hasa na kwa ushahidi gani? Mbona unaweweseka, hivi toka lini Rais anachagua viongozi wake kwa ushauri wa makamu wa CCM? Hivi ni lini chadema waligundua kuwa Zitto hajakomaa kisiasa si pale tu alipotaka kugombea nafasi kubwa zaidi, sasa unashangaa nini Malecela kumuona Sophia ni kichaa sasa?
- Sophia ni kichaa, maisha yake yako wazi sana na hilo, maneno yake, uongozi wake, yaani kila kitu chake kiko wazi kwamba ni kichaa isipokuwa kwako wewe tu, na sababu tinaijua inatokea kwenye Meremeta na Kiwira, pole sana msaidie akapimwe kichaa kwanza!
- Now you are talking kwamba huyu mama sio kichaa na inaeleweka sababu, lakini kwa sisi wenye akili timamu huyu mama hafai hata kuwa waziri maana ni kichaa, na sitaki kuamini kwamba na wewe ni kama yeye!
- Mkuu taifa haliongozwi na filimbi za mtaani, waziri wa serikali tena toka ofisi ya Rais anatakiwa kuongea na ushahidi, yaani facts akiongea midundiko kwenye kamati ya Mwinyi, ndio anakuwa kichaaa, Bwa! ha! ha! wewe unatoka familia ya kifisadi sasa Sophia lazima awe mzima sana, au? ila kwa wale tusiotoka kwenye familia za kifisadi kama wewe huyu mama ni kichaaa anahitaji kutibiwa kama anavyotibiwa kila wakati kule South Africa, ameshakuambia huwa anakwenda kutibiwa nini kila mwisho wa mwezi na kwa gharama ya nani? Bwa! ha! ha! kwamba unawajua watoto wa Mwalimu hilo sikatai maana majuzi nilikuona nao, sio siri lakini Sophia sijui kama unamjua!
Respect.
FMEs!
teh teh
Mbona cliton walimweka kati kwa kula uroda tu na kimwana mpaka akaomba msamaha, ndio nje kukwapua waume za watu na kuzaa nao.
Hayo si maadili na kigezo cha maadili mtu wa namna hii haiwezi kuongoza hata familia yake, fuatilia tu watu wa namna hii na historiaa zao majumbani.
tuhuma ni tuhuma sio lazima zitolewe na mwibiwa ,aje clean na DNA.
Pia Malecela nae aje clean na mchanganuo wake kuhusu wafadhili wake ktk kampeni zake.
huo ndio msimamo wa kati.
- vipi ni wapi alipokubali mkuu kwani macho unayo wewe tu, ni wapi Jeetu alipokubali kuwa alitowa hizo hela? acha longo longo! Baba zenu wameiba weee sasa mnataka kila mtu aonekane mwizi, ni lazima uwepo ushahidi sio maneno ya kitchen party!
FMEs!
watu wengine bwana Hujakiona kitufe kimeandikwa Thanks hapo chini?kula tano dada
Kama vile ilivyokuwa Sophia hana maadili ya kuwa waziri wa TAKUKURU,kwa matatizo binafsi......,nashukuru Mkuu angalau umenielewa.