kama nilivyosema hapo awali
Mengi kaingia mwenyewe kwenye huo mtego ...na narudia, he is not as smart as we think he is
ni reactionary na kwa kuisoma tuu hiyo taarifa inaonekana kuwa washauri wake wanamwogopa...na sidhani kama alikutana na mawakili wake
why pick a fight na Sofia in the first place?
sasa Mengi keshalikoroga kilichobaki alinywe
kuhusu PINDA
kuna mtu kasema ni serious..yes ni serious lakini hamtishi mtu kwa sababu bado yuko stuck in 1970's
ukitaka kujua kama jamaa ni useless, jiulize iweje leo hii 2009 bado ana politics of envy? one minute hataki wabunge wavae suti next minute anaagiziwa suti 70 Paris na ana anazivaa
bogus kabisa, na zaidi ukitaka kujua u bogus wake tazama website ya ofisi yake, haina policy yoyote ile zaidi ya propaganda utafikiri bado tuko kwenye siasa za ujamaa
eti mawaziri na wabunge watembelee vibajaji!
kama ndio hivyo kwanza angehama kwenye lile hekali lililotumia ma bilioni ya walalahoi na ahamie nyumbani kwake
Mengi's move not a smart move?
I dont think so, though it was blunt!
Mambo CCM sasa yamekuwa pata shika,zile nyimbo za mshikamano,umoja na amani zinaanza kuyoyoma.
Mengi ni kweli amedandia reni kwa mbele, na ni mwanachama kama alivyoeleza, kama alivyo Rostam.
How long he will hold on huko mbele ya bodi la treni no one knows.
But he has thrown a spanner into the works.
Je Sofia ataweza kuhimili mapigo toka kwa Mengi,Malecela, Anne Kilango ,Sitta na Dr Mwakyembe wanaoonekana kuwa upande mmoja?
Give a thrower many targets and she might probably miss all!!
Na hapo ndo sponsors wake itabidi wajitokeze hadharani.
Si jambo la kushangaza kuwa Lowassa na wapambe wake bado wanapiga proxy punches and half jabs.
Wanaweza kujitokeza wakati wowote wakiona mambo sasa vurugu mechi ,na wanaelekea kufungwa goli.
Katika hali kama hii CCM inaweza kuparaganyika, na si ajabu makonde hatimaye visu na mapanga vikajitokeza.
Itabidi JK atumie uwezo wake wote, ambao haujaonekana mpaka sasa hivi, kuviweka pamoja vichwa vya wanachama wake.
Na haya ndio makokea halisi ya mtandao.
Kayanza Mizengo Pinda is of the 70's?You dont know him sir!
He has played his cards right so far.
Please cross check his back ground and you might just
Ukiondoa suti na mashangingi which at any rate rings right to the Tanzanian mass,hajakosea kitu so far.
Just keep a close watch on him.
He is the only high ranking official who can be deadly honest and be blunt about it.
Zanzibaris can attest to this.