hata na mimi nakushauri ubadilishe kitambaa,kwanza vitakuwa ni vipya na apia utapata patern mpya ambayo itabadilisha muopnekano wa hilo couch,tafuta na fundi mzuri ataweza kukusaidia kufix hicho kitambaa upya kwani inahitaji utaalam flani.
solution ni kubadili kitambaa tena utafute kitambaa kinachoendana na rangi na mazingira ya nyumba, kitambaa ambacho hkioneshi uchaufu saana maana inaonekana una wachafuzi wengi kwa nyumba
Mh, hapa sielewi kama mkuu anamaanisha anachokizungumza au ni.....
Kama una maanisha sina cha kukushauri lakini kama ni maana yetu ya
kiutu uzima jiangalie wewe mwenyewe kwanza, huenda ulianza kuchafuka
wewe ndipo na sofa nalo likachafuka, kama sivyo siku hizi vitambaa vimejaa
madukani badilisha tu ya nini upate shida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.