Sofa zangu zimechafuka!!

Sofa zangu zimechafuka!!

hebu funguka kidogo maana kamusi yangu neno SOFA kunako ulimwengu wa MAHABA linatafsiri nyinginee kabisa...

huku kunyambulisha kutatupeleka mbali, tutaanza kutokuelewa tena kiswahili aisee
 
huku kunyambulisha kutatupeleka mbali, tutaanza kutokuelewa tena kiswahili aisee

lugha yoyote ina maana tofauti kulingana na jukwaa husika...ndio maana watu husem fumbo mfumbie mjinga mwerevu atalielewa
 
Mkuu huna utaratibu wa kubadilisha furniture kila zinapofikisha mwaka mmoja bila kuangalia kuwa bado zinaubora kiasi gani?
 
Hivi Kiswahili kumbe kigum kwa watz walio wengi bado [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom