Sofa zangu zimechafuka!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
Hodi wanaJF!

Naomba msaada. Kitammbaa/nguo cha sofa zangu kimechafuka. Nipeni maujanja, nitakisafishaje? Nitumie dawa au solution gani?

Natanguliza shukrani
 
tafuta tuff ile dawa inatumiwa kusafisha viti vya magari na samani mbalimbali za nyumbani .inapatikana kwenye maduka ya vifaa vya kupambia magari
 
hata na mimi nakushauri ubadilishe kitambaa,kwanza vitakuwa ni vipya na apia utapata patern mpya ambayo itabadilisha muopnekano wa hilo couch,tafuta na fundi mzuri ataweza kukusaidia kufix hicho kitambaa upya kwani inahitaji utaalam flani.
 
solution ni kubadili kitambaa tena utafute kitambaa kinachoendana na rangi na mazingira ya nyumba, kitambaa ambacho hkioneshi uchaufu saana maana inaonekana una wachafuzi wengi kwa nyumba
 
hebu funguka kidogo maana kamusi yangu neno SOFA kunako ulimwengu wa MAHABA linatafsiri nyinginee kabisa...
 
Hodi wanaJF!

Naomba msaada. Kitammbaa/nguo cha sofa zangu kimechafuka. Nipeni maujanja, nitakisafishaje? Nitumie dawa au solution gani?

Natanguliza shukrani
sijakusoma kabisa mkuu,sofa gani unamaanisha kulingana na jukwaa letu!
 
Mh, hapa sielewi kama mkuu anamaanisha anachokizungumza au ni.....
Kama una maanisha sina cha kukushauri lakini kama ni maana yetu ya
kiutu uzima jiangalie wewe mwenyewe kwanza, huenda ulianza kuchafuka
wewe ndipo na sofa nalo likachafuka, kama sivyo siku hizi vitambaa vimejaa
madukani badilisha tu ya nini upate shida.
 
kwi kwi kwi kwi mabata madogo yanaongelea yanaongelea sofa zimechafuka wewe na mweza hamkuchafuka?
 
Back
Top Bottom