Chuo gani kinasifika kufundisha vizuri kozi za ufundi magari?

Elongolongo

Member
Oct 29, 2023
23
25
Habari za asubuhi wakuu.

Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity).

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote.

Asante.
 
(KIST) ZNZ
 
Back
Top Bottom