Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Una mawenge ya usingiz
peleka TFDA
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.
Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
You should stop drinking soft drinks guys, it isn't safe for your health. The best option is water and natural fruit juice
Mbona hakuna mantiki ya swala unalolizungumzia wewe?yani mpaka ufungue ndo uone funza?inamaana chupa za soda ni tint kwamba bila kufungua huoni?pengine una point lakini usihitimishe kuutangazia umma wa watanzania kua soda za kampuni ya coca cola si salama nadhani hapo uko too general na ukifunguliwa mashtaka huna la kujitetea maana kama umefungua ukakuta utatuaminishaje kama huyo funza hujamuweka wewe ili kuharibu biashara za watu?Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.
Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
mwezi december nilikua national conference moja hv dodoma ya wanafunzi wa vyuo, wakati wa kugawa vinywaji nilikuta "stick" ya kuchokonolea uchafu ndani ya soda ya 'spar-letta'
niliwakabidhi viongozi wakaifungulie kesi kampuni hii ya cocacola, lakini kama ilivyo upuuzaji wa watanzania, hamna kilichofanyika.
NB: sinywi soda hata kwa mtutu wa bunduki, walau mkojo wa mende ni bora zaidi.

Inawezekana ni kweli kuna uzembe au kuna fitina za biashara,, kwamba wewe ukawa upande wa kampun pinzani but all in all kuchukua hatua kwa mtumiaji ni muhimu
Mbona hakuna mantiki ya swala unalolizungumzia wewe?yani mpaka ufungue ndo uone funza?inamaana chupa za soda ni tint kwamba bila kufungua huoni?pengine una point lakini usihitimishe kuutangazia umma wa watanzania kua soda za kampuni ya coca cola si salama nadhani hapo uko too general na ukifunguliwa mashtaka huna la kujitetea maana kama umefungua ukakuta utatuaminishaje kama huyo funza hujamuweka wewe ili kuharibu biashara za watu?
Nakushauri tu ndugu kama unatuma uzi jaribu kutathmini madhara yake, maana uzalishaji unafanywa na binaadam kama wewe na makosa ni sehemu ya ubinadamu kwahyo kama uzi wako ungeandika kichwa cha habari "Kiwanda cha koka kola muwe makini katika packaging" nadhani ingeleta mantiki.
Niushauri kaka/dada.