Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

Mimi binafsi nimeacha rasmi kunywa soda tangy nisome Uzi huu kumbe kuna mengi sana yapo kwa hizi soda za cocacola
 
Suala la kuacha kunywa soda ni woga tu solution nzuri hapo ni kuanza kunywa zile za kwenye plastic sababu chupa za plastic huwa hazitumiki tena kila siku ni mpya. Hizo chupa za glass huwa inatokea hivyo sababu watu huwa wanazitumia kwa matumizi mbali mbali na zinapopita kwenye bottle washer huo uchafu kama ulishika sana unaweza usitoke na yule mtu/mashine inayokagua chupa kabla ya kuoshwa na baada ya ilikuwa na fault/jamaa alisinzia.
 
mnyasafake huu ni mchezo mchafu wa kibiashara....makampuni ya vinywaji yanahusika kwa namna moja au nyingine
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.

Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
 
mimi nitachangia haya machache:
yawezekana bw regnald mengi,anapigwa vita vya majungu ya kibiashara,maana watanzania walio wengi unufaika kwa kumpaka matope mwenzake kibiashara iliajenge jina la kapuni yake,

pili
yawezekana bw regnald mengi hawalipi vizuri wafanyakazi wake,ukizingatia bw mengi ni mtoaji mzuri wa misaada kwa watu mbali mbali nchini, na kama ni tatizo la maslahi ya wafanyakazi ni madogo na wafanyakazi wakiona malundo ya pesa anayotoa kwa watu inahathiri sana ufanisi wa wafanyakazi.

ni vyema bw mengi akajitathimini yeye mwenyewe na kuwaangalia wafanyakazi kwa kufanya vikao nao mara kwa mara na kujua matatizo yao kuliko kuwaachia mameneja,ikiwa ni tatizo la maslai basi ni vyema pesa anazotoa kwa watu mbali mbali akazielekeza kwanza kwa wafanyakazi wake ndiposa atoke nje na kuwasaidia wengine,

Ijapokuwa hujaandika vizuri ila umeeleweka hvyohvyo. Anyway, ukivifuatilia sana hivyo vinywaji namna vinavyotengenezwa, unaweza ucvitumie tena yani.

Ndo mana mm binafsi nimeacha kunywa soda for about 95%. Ni vyema kunywa maziwa au kuyanunua matunda na kuya-blend then kuitengeneza juice mwenyewe. Over!

Kweli kabisa....
 
mimi nitachangia haya machache:
yawezekana bw regnald mengi,anapigwa vita vya majungu ya kibiashara,maana watanzania walio wengi unufaika kwa kumpaka matope mwenzake kibiashara iliajenge jina la kapuni yake,

pili
yawezekana bw regnald mengi hawalipi vizuri wafanyakazi wake,ukizingatia bw mengi ni mtoaji mzuri wa misaada kwa watu mbali mbali nchini, na kama ni tatizo la maslahi ya wafanyakazi ni madogo na wafanyakazi wakiona malundo ya pesa anayotoa kwa watu inahathiri sana ufanisi wa wafanyakazi.

ni vyema bw mengi akajitathimini yeye mwenyewe na kuwaangalia wafanyakazi kwa kufanya vikao nao mara kwa mara na kujua matatizo yao kuliko kuwaachia mameneja,ikiwa ni tatizo la maslai basi ni vyema pesa anazotoa kwa watu mbali mbali akazielekeza kwanza kwa wafanyakazi wake ndiposa atoke nje na kuwasaidia wengine,

umenena
 
  • Thanks
Reactions: uti
Jamani Bora hata umeamua wewe kuonyesha hazarani mimi mwenyewe nilishanunua Coca cola kabla sijainywa nikakuta Condom kwa macho yangu.
 
Hyo ni opportunity ya pesa....kasome kesi ya Donoghue V Stevenson
 
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.

Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.

Wewe utakuwa mhujumu wa kwanza.Mdudu mkubwa kiasi hicho na soda imefikia robo tatu kweli tupate kuamini unayoyasema kwa tukio hilo.

Pamoja na kuwa kuna uzembe na hili jambo siyo la kushangaza na siyo geni ,lakini kuna walakini kwenye picha unayotaka kutumia kutushawishi.

Coca Cola amkeni tumieni majukwaa kama haya kuboresha product zenu
.
 
Yaani haya mavinywaji ya viwandani si salama kabisa
 
Back
Top Bottom