mnyasafake
Member
- Feb 2, 2015
- 66
- 19
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.
Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.