ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
picha za effects ndo unatuonesha damn...Mkuu najaribu ku- upload hapa inanikatalia Naomba kma ikiwezekana nichek Kwa 0713415537 nikutumie picha Kwa whatsap upload usaidiwe watu.

picha za effects ndo unatuonesha damn...
Ukiambiwa kila kitu sio cha kubisha.. Na hasa kinachohusu afya yako, Kuna aliekua picha watu wakisema kutuma, na wengine soda imefungiliwa, na wengine hata kukejeli ila kumbuka katoka kitu hajakukataza usinywe ila uwe makini, na pale Kwenye mapungufu kuhusu vyakula tunasema tizama picha hii na hata soda sijafungua..
Kua makini
Mbona hiyo picha iliwekwa na mtu tangu jana.... we umetumiwa whatsup huko ndio unaileta hapa.
Btw ile thread imenifanya nione kinyaa kunywa soda ya aina yoyote... kila nikiifikiria soda kichefu chefu chanijia
kwan hyo inashda gan me sijaona vzuri
Mbona hiyo picha iliwekwa na mtu tangu jana.... we umetumiwa whatsup huko ndio unaileta hapa.
Btw ile thread imenifanya nione kinyaa kunywa soda ya aina yoyote... kila nikiifikiria soda kichefu chefu chanijia
Weee tafuta ile thread nyingine iliwekwa jana. utaona vizuri saana

Mkuu najaribu ku- upload hapa inanikatalia Naomba kma ikiwezekana nichek Kwa 0713415537 nikutumie picha Kwa whatsap upload usaidiwe watu.
Mimi nilishaacha kabisa.
Mie ndio nimeacha... nimechefukwaa
Unaweka namba zako?
Ngoja wakutafute!
Unaharibu biashara za watu ujue!