yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 603
- 454
#mnyasafake jipange tena maana watu wamesha kudharau, unajua hata mwanamke akishakuwa malaya hudharauliwa kama wewe???
#mnyasafake jipange tena maana watu wamesha kudharau, unajua hata mwanamke akishakuwa malaya hudharauliwa kama wewe???
Labda vilitoka midomoniNi hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.
Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
acha kuharibu biashara za watu wewe
Azam vinywaji vyake vipoje?
Very pow quality aisee
Umetuingiza mkenge maelezo bila picha.....