Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
Ndio maana wengine tunaangalia kama movie tu kakondoo. Kama na wewe unaweza karibu ila waliopo uwanjani watacheza tuuuuuu mpaka siku watakapokosa nguvu, so we angalia tu na kujifunza.
dah......kweli hii ni zaidi ya movie aisee!! Hizo picha sijui ndo zinawazuzua, sijui ni tamaa tu binafsi......sijui mdudu hata sielewi!! Mie sipo facebook ila stori nyingi nazipata kwa wenzangu. Kuna kitu najiuliza Lizzy, kuna umuhimu gani wa kuendelea kuentertain unnecessary contacts na watu/mtu wa opposite sex?? Kwani kutoa comment pekee hakutoshi?