Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
...basi you are one in a million...kuna watu wakifika nyumbani tu, cha kwanza mke/mume anaikagua mobile phone kisha anaiweka kibindoni mwake mpaka kesho utapoenda kazini, kila sms au simu itayoingia ataisoma au kuipokea yeye kwanza.....kwenye social network ndio balaa...anataka kujua sababu, nia na madhumuni ya kupewa comment, like, au tagged!
...eeeh? ushaona mtu anakusimamia u log in skype, au msn messenger kwakuwa anajua kuna live video, kisha yeye anajibanza nyuma ya kiti? paropokwe neno tu hapo,
...akikukosa huko, ana-print chat history!
Duh...sasa Mbu...hayo ni mahusiano au ni upo kifungoni, a prisoner? I mean kuna watu wako na akili zao kabisa kwen such a relationship, if we may call it that?