Sms iliyoniumiza kupita zote

Sms iliyoniumiza kupita zote

Huu ni uozo wa kifikra kwa sisi wanawake. Tuelimike! Tunda tuwape sisi na tulete taabu duniani kisha fedha watupe sisi kutatua laana tulizozileta kuleee Eden? How come. Kila mtu afe lake na responsibilities zake. Criteria ya wanawake kudai fedha ni nini ikiwa wote wanakaa darasani na kupata kazi na mishahara sawa. Kama mtu akaa kigoigoi hajishughulishi aende magoti huko kuna fedha kibwena. Tusiwasumbue wanaume kila mara na kufanya hii dunia chungu kwao, hata life expectancy ya wanaume duniani ni chini kwa sababu ya wanawake - too stressful to be loved!
I see! wewe ni wa pekee! Tafadhali ni pm.
 
hahahah polee sana haya sikia mwanaume maneno matupu hayavunji mfupa, akirudi unatakiwa unaomba msamaha huku umeshika iphone5 au samsungGalaxyS4 sawa mkaka?
 
2. Kuna siku nilipata taarifa za kweli ulitaka kupeleka barua ya uchumba kwa mtu tofauti na mimi huku uko kwenye mahusiano ya kimapenzi nami niliumia sana japo sikusema.

ili pia ulilifanya? ina maana ulikuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. bidada naye alijua na alikaa kimya hata asikuulize, kweli huyo ana kifua
 
Achana naye huyo sio wife material atakusumbua hadi ujisahau mwenyewe. Angalia kuhusu passive aggressive behaviour. Ana personality disorder - ni almost monster. Mtu mwenye mahusiano ya kweli huwa muwazi na kujadili mambo yamuhusuyo wazi kwani pamoja na mahusiano kuna mambo ni yake mwenyewe na ni responsibility yake. Huwezi mwanadamu kumtupia mwenzio responsibilities zako kisha ikawa ni mapenzi hayo. Utakuwa na mzigo maisha yako yote. Wewe ni sms gani umemwandikia. See you are very perfect man with sound personality. Kimeo hicho. Siku hizi rahisi kubaini mwenza kuliko zamani. Life is very fast so in a minute you can learn million times the speed of our parents. watch out! Utaniambia.

ucmpotoshe mwenzio jaman
 
hapo kwenye bold! hata kama alitaka kupeleka barua ya posa kwa mtu mwingine huku ana mpenzi mwingine?

uliyoyasema ni kweli, na imekuwa kawaida kwa wadada kuhamishia responsibilities zao kwa wanaume

ila mi naona kuna tatizo la communication kati ya hao wapenzi wawili. kwanini asiwe huru kusema sina nauli. inaonekana mrembo hayupo huru kwa Jul.

pia Jul, hana mapenzi ya dhati kwa huyo bidada. nahisi ni spare tyre yake tu (labda julius mahinya aliweke hilo wazi.
mpz katuma msg anaumwa, mwanaume anayejali atapiga simu kuulizia mwenzake anaendelaje, katumia dawa gani etc, kuonyesha anajali. sasa huyu jamaa yeye katuma sms akisema pole tu, kashindwa hata kuuliza mwenzie anaendeleaje?

kapeleka posa kwa mwanamke mwingine?? wkt ana mpz mwingine. hapo lazima mmoja anadanganywa, na ni huyu aliyetuma sms
 
Last edited by a moderator:
Ni hatari sana kwa kijana kutokujijua na kujua majukumu yake kiasi hiki

No wonder ni kwanini mabinti wanatusema sana siku hizi
Unashindwa kujua kuwa unatakiwa mrembo wako afike nyumbani bila karaha???
AAAARRRRRRRRRRGGGGGGGGHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!

Ni bora ungekuwa huna hela na yeye anajua hilo

Jirekebishe kijana
Kama hawakuchapii basi shukuru Mungu!!!

Punguza ukali na hasira kaka, ni jukumu la wazazi kuwagaia watoto wao stadi za kila aina...

With time, wataweza kusonga mble. Ila bahati mbaya wengine wanaweza kuwa walishaachwa na hawa mabinti walion uvumilivu mfupi ukilinganisha na wenzi wetu wa 1947...

Babu DC!!
 
mfano wewe usipomuomba mtu hela akakupa unajisikiaje? huwezi kumuuliza ni ya nini? maana naona kama jambo gumu hivi!

Dah..you have a long way to go mdogo wangu hadi unakera loh , hadi uombwe ,por girl. Hujui hata matumizi ya kawaida ya mkeo/mpenzi. Kuna salon, small petites (pads, deodorants, fare, voucher, ect) . Si lazima za gharama ila mwanamke yoyote hata awe mke wa rais anajisikia vema kujua anapendwa, anajaliwa na somebody she trusts does something. After all unapaswa/mnapaswa kuwekeana mahusiano yaliyojaa uwazi -usiwe mbabe utamjengea hofu milele na hatakaa aombe au aulize.

Make her special, awe huru kukwambia pale unapomkwaza na akipata tatizo. Nawe jifunze, JIFUNZE*100 kumsoma mwenzio-- muulize kama yuko ok, share naye malengo yenu, na mengine yatafollow automatically.

Basi kaa na wenzio wenye experience wakueleze majukumu maana yake nini ndio utajua.
 
Yaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!

Ila hata mwanamke naye ana matatizo,. Mambo ya march anayaongea leo kwani ni pesa aliweka kwenye fixed deposit?

Wote wanahitaji kupigwa msasa aisee!

Babu DC!!
 
Huu ni uozo wa kifikra kwa sisi wanawake. Tuelimike! Tunda tuwape sisi na tulete taabu duniani kisha fedha watupe sisi kutatua laana tulizozileta kuleee Eden? How come. Kila mtu afe lake na responsibilities zake. Criteria ya wanawake kudai fedha ni nini ikiwa wote wanakaa darasani na kupata kazi na mishahara sawa. Kama mtu akaa kigoigoi hajishughulishi aende magoti huko kuna fedha kibwena. Tusiwasumbue wanaume kila mara na kufanya hii dunia chungu kwao, hata life expectancy ya wanaume duniani ni chini kwa sababu ya wanawake - too stressful to be loved!

Hebu acha uongo wako: wapi ameandika the girl begged for money. You know what the beauty of Love is--- sharing, sharing and sharing . Ndio maana mdada alilipa nauli expecting the guy would do the same . She did her part and she expresses in the sms she would like the man to treat her better.

Usimpotoshe mwenzio mwenye nia ya kujenga mahusiano yake akaenda zua mengineeee mapyaaa.

Cha msingi amjengee mazingira ya kuwa more open , we dont know mazingira yanayomfanya huyu dada kutokuwa open there and then, maybe fear, maybe ujinga. Ila the bottom line is "Men need to be men ( to care, to protect, to caress), and women need to be women (reciprocating the love they receive, multiply and give back)
 
Umenikumbusha zile swaga za, i love you! Then i hate you.... Then i love u, then i hate you.... More!!!!

Natafuta wa kunitenda!
 
duh! mbona malalamiko yote chanzo chake ni fedha isipokuwa hiyo ya barua...........
 
Punguza ukali na hasira kaka, ni jukumu la wazazi kuwagaia watoto wao stadi za kila aina...

With time, wataweza kusonga mble. Ila bahati mbaya wengine wanaweza kuwa walishaachwa na hawa mabinti walion uvumilivu mfupi ukilinganisha na wenzi wetu wa 1947...

Babu DC!!

Hii ni hasara sana babu...!!!!!!
 
Back
Top Bottom