Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,179
Kwani we ni daktari mpaka aseme ataponaje
Dusheleleee nalo ni dawa,,, au umesahau? kwani c amesema kikubwa anaumwa! na wewe kwa kujifanyisha si ndo zako.Au umesahau na wewe ukitakaga.
Kwani we ni daktari mpaka aseme ataponaje
hahahaaaaa,inamaana hiyo bill ilikuwa inakuja kimyakimya mpaka awe anauliza,kweli ubahiri ni kipajihahaha aisee hata siamini nasoma haya. kuna mshkaji mmoja mhandisi, afu anapenda kutongoza hadi vivuli. nilimshangaa kuna siku analalamika washkaji tunamkimbia. aisee jamaa hachangii bill. yaani never like ever uwiii. bill ikija anaongeaaaaa mnatoa hela hadi inatosha. mkisema tuondoke anauliza mbona hawaleti bill. mi huwa namjibu hapa pombe na chakula ni bure. na kila siku anauliza the same question! uanze kuvaa brazia ili uweke nauli kwenye manyonyo na wewe hela zako ziwe karibu aisee, utalipiwa mjini afu iwe soo lol!
Na no wonder mabinti wanatung'ang'ania waume za watu...
hapo kwenye bold! hata kama alitaka kupeleka barua ya posa kwa mtu mwingine huku ana mpenzi mwingine?
uliyoyasema ni kweli, na imekuwa kawaida kwa wadada kuhamishia responsibilities zao kwa wanaume
ila mi naona kuna tatizo la communication kati ya hao wapenzi wawili. kwanini asiwe huru kusema sina nauli. inaonekana mrembo hayupo huru kwa Jul.
pia Jul, hana mapenzi ya dhati kwa huyo bidada. nahisi ni spare tyre yake tu (labda julius mahinya aliweke hilo wazi.
mpz katuma msg anaumwa, mwanaume anayejali atapiga simu kuulizia mwenzake anaendelaje, katumia dawa gani etc, kuonyesha anajali. sasa huyu jamaa yeye katuma sms akisema pole tu, kashindwa hata kuuliza mwenzie anaendeleaje?
kapeleka posa kwa mwanamke mwingine?? wkt ana mpz mwingine. hapo lazima mmoja anadanganywa, na ni huyu aliyetuma sms

sijamjibu, japo alinipigia kujua kama nimepata sms yake nikamjibu ndio na nikaahidi kujibu! ila nasubiri kasafiri leo akirudi tu next week ntaomba maongezi naye na si sms! ntamtoa out tuongee!
kuwa na mapenzi ya kweli,kama una MTU Wa ndoa yeye mwambie Wa kuzugia tu.