Sms iliyoniumiza kupita zote

Sms iliyoniumiza kupita zote

sijui lakini watu wengine wanavyochukulia mapenzi na majukumu na pengine nahitaji kujifunza kutoa fedha na pengine kutatua shida bila kuombwa wala kuelezwa!

miss chagga comments ni passive aggressive behaviour. It is the same personality disorder have been narrating!
 
Achana naye huyo sio wife material atakusumbua hadi ujisahau mwenyewe. Angalia kuhusu passive aggressive behaviour. Ana personality disorder - ni almost monster. Mtu mwenye mahusiano ya kweli huwa muwazi na kujadili mambo yamuhusuyo wazi kwani pamoja na mahusiano kuna mambo ni yake mwenyewe na ni responsibility yake. Huwezi mwanadamu kumtupia mwenzio responsibilities zako kisha ikawa ni mapenzi hayo. Utakuwa na mzigo maisha yako yote. Wewe ni sms gani umemwandikia. See you are very perfect man with sound personality. Kimeo hicho. Siku hizi rahisi kubaini mwenza kuliko zamani. Life is very fast so in a minute you can learn million times the speed of our parents. watch out! Utaniambia.

< 18 i think!
 
miss chagga comments ni passive aggressive behaviour. It is the same personality disorder have been narrating!

may be lakini napaswa kujua mpenzi wangu anahitaji nini! hajawahi chukia mbele yangu muda wote anaonyesha tabasamu na furaha sikupata jua anaumia ndio maana naumia juu ya sms!
yawezekana ni wajibu wa mwanaume kutoa fedha bila kuombwa ntajitahidi si kutoa fedha bila utaratibu ila kuzungumza naye awe huru kuomba chochote muda mwafaka si kulalamika japo ntatafuta lugha nzuri ya kuongea naye!
 
Huu ni uozo wa kifikra kwa sisi wanawake. Tuelimike! Tunda tuwape sisi na tulete taabu duniani kisha fedha watupe sisi kutatua laana tulizozileta kuleee Eden? How come. Kila mtu afe lake na responsibilities zake. Criteria ya wanawake kudai fedha ni nini ikiwa wote wanakaa darasani na kupata kazi na mishahara sawa. Kama mtu akaa kigoigoi hajishughulishi aende magoti huko kuna fedha kibwena. Tusiwasumbue wanaume kila mara na kufanya hii dunia chungu kwao, hata life expectancy ya wanaume duniani ni chini kwa sababu ya wanawake - too stressful to be loved!

ni jukumu la mwanaume kukuhudumia la sivyo atahudumia wenzio huko nje.....
 
sijamjibu, japo
alinipigia kujua kama nimepata sms yake nikamjibu ndio na nikaahidi
kujibu! ila nasubiri kasafiri leo akirudi tu next week ntaomba maongezi
naye na si sms! ntamtoa out tuongee!

Tafuta sehemu ambayo ni tulivu, nzuri, if possible hajawai enda hapo b4, iwe busy kiasi hairuhusu watu kuwakodolea macho! Iwe na privacy ili kama ana mengine afunguke zaidi ya hy sms yake! Mwisho muombe samahani na m-promise kuwa hayo hayatajirudia tena!
 
Kupigwa kibuti nilisha wahi pigwa na ninayempenda zaidi kwa kunitumia sms fanya mambo yako, mimi na wewe basi! sikupata kuumia kama hii sms ya mpenzi wangu wa sasa ambayo si ya kunipiga kibuti!
sms yenyewe ni hii:
Sema July! pole kwa uchovu wa jana! mwaka unaisha sasa tunaanza mwaka mpya muda si mrefu kama tukibahatika, ila kuna mambo manne ulinifanyia mwaka huu yalinikera sana japo sikusema ningependa kuona hayajirudii mwakani kama tutabahatika kuuona!
1. kumbuka mwezi wa tatu kunasiku ulitokea Riverside kwenye kikao ukanipitia Mwenge tukaenda Don bosco baadae posta na kurudi tena Don bosco, nilikulipia nauli muda wote huo nikabakiwa na mia tano tu, nikakuomba tutembee kwa muguu mpaka magomeni ili nipande gari za Mabibo nikidhani utauliza kwa nini tutembee kwa muguu ni kujibu sina nauli badala yake ukakubali tukatembea hadi magomeni sema kweli niliumia sana na niliumwa miguu wiki nzima bila nafuu! naomba isijirudie jaribu kunijali kama nami nifanyavyo kwako!
2. Kuna siku nilipata taarifa za kweli ulitaka kupeleka barua ya uchumba kwa mtu tofauti na mimi huku uko kwenye mahusiano ya kimapenzi nami niliumia sana japo sikusema.
3.Nilipo ugua mwezi wa tisa nikakutumia sms kuwa naumwa sikua na senti hata kidogo, ukaishia kusema pole bila kujua naponaje ilinilazimu kukopa kinyume na jadi yangu napo niliumia sana!
4.Nilipo kuwa na birthday pamoja na wewe kunipatia fedha ila hukufika niliumia sana japo nilikubaliana na taarifa yako kuwa hutofika uliyoitoa dakika za mwisho naomba lisijirudie mwakani!
Ndugu zangu wana jamvi sikupata kujua alikuwa anakereka moyoni hata kidogo kwa lolote maana alionekana mwenye furaha muda wote, na siku tunatembea kwa muguu nilijua namsaidia kufanya zoezi maana fedha sio siri ilikuwepo si tu kupanda dala dala bali hata kukodi tax! lakini hakupata kusema mpaka jana alipo nitumia hiyo sms niliumia sana kila muda nawaza juu ya sms hii na hakuna aliloongopa yote ni kweli! hata jibu hapa sina najibuje sasa?

Uyo yupo mguu nje mguu ndani uwo mwaka unaokuja uwe macho
 
Huu ni uozo wa kifikra kwa sisi wanawake. Tuelimike! Tunda tuwape sisi na tulete taabu duniani kisha fedha watupe sisi kutatua laana tulizozileta kuleee Eden? How come. Kila mtu afe lake na responsibilities zake. Criteria ya wanawake kudai fedha ni nini ikiwa wote wanakaa darasani na kupata kazi na mishahara sawa. Kama mtu akaa kigoigoi hajishughulishi aende magoti huko kuna fedha kibwena. Tusiwasumbue wanaume kila mara na kufanya hii dunia chungu kwao, hata life expectancy ya wanaume duniani ni chini kwa sababu ya wanawake - too stressful to be loved!

cc:WADADA WOTE WOTE HUMU JF KUTOKA KWA MDADA MWENZENU..
tinna cute,miss chagga, Ennie,Heaven on Earth, badiebey,King'asti,lara 1,charminglady,christine ibrahim, farkhina,Sista, jamiif,Husninyo,miss strong
 
Huu ni uozo wa kifikra kwa sisi wanawake. Tuelimike! Tunda tuwape sisi na tulete taabu duniani kisha fedha watupe sisi kutatua laana tulizozileta kuleee Eden? How come. Kila mtu afe lake na responsibilities zake. Criteria ya wanawake kudai fedha ni nini ikiwa wote wanakaa darasani na kupata kazi na mishahara sawa. Kama mtu akaa kigoigoi hajishughulishi aende magoti huko kuna fedha kibwena. Tusiwasumbue wanaume kila mara na kufanya hii dunia chungu kwao, hata life expectancy ya wanaume duniani ni chini kwa sababu ya wanawake - too stressful to be loved!

good message to you lara 1
 
Dah, anaonekana ana "diary" huyo...maana kuweka kumbukumbu za date kichwani si masikhara..... Kumwomba Samahani ni jambo la msingi, ila weka wazi kuwa wewe pia si malaika... Awe wazi kusema linalomkera "on the spot"...
Always, kuweka vinyongo huharibu mahusiano...
 
Back
Top Bottom