Sms iliyoniumiza kupita zote

Sms iliyoniumiza kupita zote

sawa mdada!

Hugo Hakupendi kuwa Makini kuna kitu anahitajia kwako na ndo maana anavumilia Ujinga wako
You are right and you are wrong..kweli hiyo vumilia gani ya mda wot huo..anaweza akawa pretenda..heheh..siku akiolewa atakua hawezi kuweka moyoni vitu hata siku haipiti anapigizana kelele..MAYBE..

Lakini pia kuhusu kutaka kitu kwa huyo kaka sidhani..labda kitu chenyewe kiwe kuolewa..lakini material stuff..mmhh mtu analalamikia nauli ya daladala??? yaani wanawake waleeee nadhani umeshawajua hata hiyo daladala humpandishi...she is complaining about very simple stuff.. ulituma pesa ya birthday lakin mie nikataka wewe uwepo..mara niliumwa ukasema tu pole..I think she is very simple and realistic
 
You are right and you are wrong..kweli hiyo vumilia gani ya mda wot huo..anaweza akawa pretenda..heheh..siku akiolewa atakua hawezi kuweka moyoni vitu hata siku haipiti anapigizana kelele..MAYBE..

Lakini pia kuhusu kutaka kitu kwa huyo kaka sidhani..labda kitu chenyewe kiwe kuolewa..lakini material stuff..mmhh mtu analalamikia nauli ya daladala??? yaani wanawake waleeee nadhani umeshawajua hata hiyo daladala humpandishi...she is complaining about very simple stuff.. ulituma pesa ya birthday lakin mie nikataka wewe uwepo..mara niliumwa ukasema tu pole..I think she is very simple and realistic

Sure yuko simple bt cute, shule anayo japo mwakani mwezi wa saba hivi ndio nahitibu shahada yake ya kwanza course ya 3 years! kazaliwa jijini Dar, kakulia hapa, na kafanya kazi mbeya,iringa na morogoro!
nimpole kimuonekano na anasmile na kucheka mara nyingi!
anapenda kwenda beach,kucheza music,kuwatch football pia ni mtaalam wa kuogelea bt swimming pool!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • Mm, hivi kweli umetulia unalipiwa nauli na demu tripu zote hata haujigusi halafu unasema hela ilikuwepo, .......... mtoto wa kiume hapa haipendezi.


  • Ukapelekaji posa kwa mwanamke mwingine? ............. Ina maana unacheza kekundu na watoto wa watu.


  • ..................... Tena umshukuru Mungu huyo dada ameamua kukuambia, ni mwanamke mzuri ukiweza oa
lakini umwambia asiwe anakusanya makosa, pindi likitokea aseme ili muyaweke sawa kwa wakati.

..................
 
Mwakani ubadilike sasa wakija wawekezaji akina Mushi na Munisi usije sahaulika mapema
 
du hamna thread iliyonisikitisha ya mwanaume mbahiri kama hii, mnatembea kwa miguu mlikuwa na suport ya mwenge au karanga?
 
Muombe msamaha na mwakan ucje rudia mkuu caz ladies huwa wanakasilika sana kwa vitu unavyodhan ni vidogo
 
dada wa watu ametoa annual review ya mpenziwe jamani. walau kakiweka moyoni bila kinyongo. mie ndo maana nabwatukaga, nikikiweka kitu moyoni kuanzia march hadi leo ujue na unyumba ume-rip. unalambaje asali ilhali una maji mdomoni?:crazy:
Ila hata mwanamke naye ana matatizo,. Mambo ya march anayaongea leo kwani ni pesa aliweka kwenye fixed deposit?

Wote wanahitaji kupigwa msasa aisee!

Babu DC!!
 
hahaha aisee hata siamini nasoma haya. kuna mshkaji mmoja mhandisi, afu anapenda kutongoza hadi vivuli. nilimshangaa kuna siku analalamika washkaji tunamkimbia. aisee jamaa hachangii bill. yaani never like ever uwiii. bill ikija anaongeaaaaa mnatoa hela hadi inatosha. mkisema tuondoke anauliza mbona hawaleti bill. mi huwa namjibu hapa pombe na chakula ni bure. na kila siku anauliza the same question! uanze kuvaa brazia ili uweke nauli kwenye manyonyo na wewe hela zako ziwe karibu aisee, utalipiwa mjini afu iwe soo lol!
Mara zote huwa ana kipochi karibu karibu so sikujua anahela kidogo hata hivyo kuna wakati nakumbuka kabla konda hajaomba hela kaisha mlipa na anakuwa wa kwanza kusema baby nsha lipa usilipe sasa mimi ningejuaje mfuko wake? sijui lakini maana mimi siwezi kulipia mtu hata awe nani hadi nijikute sina hela ya kunifikisha nyumbani huku sijui mfuko wake ukoje?
 
Sure yuko simple bt cute, shule anayo japo mwakani mwezi wa saba hivi ndio nahitibu shahada yake ya kwanza course ya 3 years! kazaliwa jijini Dar, kakulia hapa, na kafanya kazi mbeya,iringa na morogoro!
nimpole kimuonekano na anasmile na kucheka mara nyingi!
anapenda kwenda beach,kucheza music,kuwatch football pia ni mtaalam wa kuogelea bt swimming pool!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aaaww, nice!!!
All the best guys, no one is perfect, unampenda anakupenda haimaniishi hamtakosana na tuna njia tofaut ya kupokea makosa cha msingi tu ni kujuana ili kilamtu amsaidie mwenzie kua bora zaidi. Na wewe mwambie yako ya moyoni basi maisha yanasonga. Mie na mpenzi wangu ni kama ndugu aise, hua tunaongea anything, ananiambia chochote ila ni kwa sababu nimempa uhuru wa kua yeye bila kum-judge kwa hiyo yuko very comfortable, hata mie nipo so comfortable kwake, yaani kwa kifupi hamna kuigiza, na pia unaweza fanya bidii yako yote na bado mapenz yasifanikiwe hiyo haitamaanisha yeye ndo mbaya wako au wewe una kasoro sana basi tu itakua ndo imetokea, you receive it positively and enjoy life, but always, you do your best first!
 
Mwambie pole. Mwaka ujao mambo yote yatakuwa kama hivi...:israel::lock1::lock1::A S 114::music:

With all due respect,
Hii quote ya Nyerere wakati anaitoa yeye alishajivua Uswahili au?
Samahani lakini.
 
Yaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!
Hahahahahahahahah umenichekesha kweli ndugu muda wote anapiga story ikiisha hii anaanzsha hii hata picha hakuiona khaaa. Mkuu mwaka ujao itabidi ujirekebishe aisee
 
With all due respect,
Hii quote ya Nyerere wakati anaitoa yeye alishajivua Uswahili au?
Samahani lakini.

Hahahaha Nyerere alikuwa mswahili nambari wani...ingawa hakuwa limbukeni...nadhani hiyo quote ni kwa wale malimbukeni waswahili...
 
Mpe pole,dinner date ya ukwee,na zawadi juu,say sorry,af mwambie na ye ajirekebishe ur not an angel to read her mind

word!! nyote mngejua hayo aisee mngefanya maisha yawe mepesi sana!
mi siwezi soma mawazo yako.hakuna nauli niambie..''we mwanaume i think vote yetu ya usafiri ime bust.....hebu fanya maarifa ya bail out plan basi''.kama sina nitajisalimisha mapema kabla ya mizunguko yoyote au mtoko ili ujue sina.sio unanitegesheaaaaaaa....mi sheikh yahaya kwani!!???
 
Yaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!

mara nyingne mi nikiona itachukua muda labda na hatuna usafiri wetu na mizunguk ni mingi na nataka alipe yeye...au hata kumpima tu matumizi yake....tunapopanda daladala nampa pesa kidogo..hata 20 au 30 hivi!muangalie anavyotumia na kama kuna chenji mkirudi lazima utapewa tu au labda kuambiwa nini chahitajika(kama ni daladala lakini....maana taxi itakuwa gharama zaidi!).ila kujikausha mazima.....dah,hapa dogo ulichemsha!
 
Kupigwa kibuti nilisha wahi pigwa na ninayempenda zaidi kwa kunitumia sms fanya mambo yako, mimi na wewe basi! sikupata kuumia kama hii sms ya mpenzi wangu wa sasa ambayo si ya kunipiga kibuti!
sms yenyewe ni hii:
Sema July! pole kwa uchovu wa jana! mwaka unaisha sasa tunaanza mwaka mpya muda si mrefu kama tukibahatika, ila kuna mambo manne ulinifanyia mwaka huu yalinikera sana japo sikusema ningependa kuona hayajirudii mwakani kama tutabahatika kuuona!
1. kumbuka mwezi wa tatu kunasiku ulitokea Riverside kwenye kikao ukanipitia Mwenge tukaenda Don bosco baadae posta na kurudi tena Don bosco, nilikulipia nauli muda wote huo nikabakiwa na mia tano tu, nikakuomba tutembee kwa muguu mpaka magomeni ili nipande gari za Mabibo nikidhani utauliza kwa nini tutembee kwa muguu ni kujibu sina nauli badala yake ukakubali tukatembea hadi magomeni sema kweli niliumia sana na niliumwa miguu wiki nzima bila nafuu! naomba isijirudie jaribu kunijali kama nami nifanyavyo kwako!
2. Kuna siku nilipata taarifa za kweli ulitaka kupeleka barua ya uchumba kwa mtu tofauti na mimi huku uko kwenye mahusiano ya kimapenzi nami niliumia sana japo sikusema.
3.Nilipo ugua mwezi wa tisa nikakutumia sms kuwa naumwa sikua na senti hata kidogo, ukaishia kusema pole bila kujua naponaje ilinilazimu kukopa kinyume na jadi yangu napo niliumia sana!
4.Nilipo kuwa na birthday pamoja na wewe kunipatia fedha ila hukufika niliumia sana japo nilikubaliana na taarifa yako kuwa hutofika uliyoitoa dakika za mwisho naomba lisijirudie mwakani!
Ndugu zangu wana jamvi sikupata kujua alikuwa anakereka moyoni hata kidogo kwa lolote maana alionekana mwenye furaha muda wote, na siku tunatembea kwa muguu nilijua namsaidia kufanya zoezi maana fedha sio siri ilikuwepo si tu kupanda dala dala bali hata kukodi tax! lakini hakupata kusema mpaka jana alipo nitumia hiyo sms niliumia sana kila muda nawaza juu ya sms hii na hakuna aliloongopa yote ni kweli! hata jibu hapa sina najibuje sasa?

Sasa unataka ushauri au? ndo maana mnamwagwa daily eti hela ya Tax ipo? unatakiwa hata kwa week unamuuluza jamani honey nimekuuzi nini week nzima au kuna jambo nimekukwaza hawa watu sometime unatakiwa uwasome machoni. Ana haki ya kukumwaga sababu hukushow uanaumi wako eti namsaida mazoezi ----- nini wewe? pole kwa kuumwa,, hari yako ikoje, unaendeleaje dear, umetumia dawa gani pls ntakuja soon kukujulia khari,,, unafika na vipaseli vyako vya matunda nk. poor weeeeeeeeeeeeeee! unastahili kumwagwa tena kwa sms.
 
Hapana ndugu mm sifikirii hivyo. Kuna watu wapole hata ukiwaudhi inachukua muda kusema kilcho moyoni mwao. Mm nafikiri huyu mwanamke ni atakuwa mwanamke mvumilivu pindi atakapo olewa. Namshauri huyu bwana asimwache huyu mwanamke atamfaa baadaye.
 
Kupigwa kibuti nilisha wahi pigwa na ninayempenda zaidi kwa kunitumia sms fanya mambo yako, mimi na wewe basi! sikupata kuumia kama hii sms ya mpenzi wangu wa sasa ambayo si ya kunipiga kibuti!sms yenyewe ni hii:Sema July! pole kwa uchovu wa jana! mwaka unaisha sasa tunaanza mwaka mpya muda si mrefu kama tukibahatika, ila kuna mambo manne ulinifanyia mwaka huu yalinikera sana japo sikusema ningependa kuona hayajirudii mwakani kama tutabahatika kuuona!1. kumbuka mwezi wa tatu kunasiku ulitokea Riverside kwenye kikao ukanipitia Mwenge tukaenda Don bosco baadae posta na kurudi tena Don bosco, nilikulipia nauli muda wote huo nikabakiwa na mia tano tu, nikakuomba tutembee kwa muguu mpaka magomeni ili nipande gari za Mabibo nikidhani utauliza kwa nini tutembee kwa muguu ni kujibu sina nauli badala yake ukakubali tukatembea hadi magomeni sema kweli niliumia sana na niliumwa miguu wiki nzima bila nafuu! naomba isijirudie jaribu kunijali kama nami nifanyavyo kwako!2. Kuna siku nilipata taarifa za kweli ulitaka kupeleka barua ya uchumba kwa mtu tofauti na mimi huku uko kwenye mahusiano ya kimapenzi nami niliumia sana japo sikusema.3.Nilipo ugua mwezi wa tisa nikakutumia sms kuwa naumwa sikua na senti hata kidogo, ukaishia kusema pole bila kujua naponaje ilinilazimu kukopa kinyume na jadi yangu napo niliumia sana!4.Nilipo kuwa na birthday pamoja na wewe kunipatia fedha ila hukufika niliumia sana japo nilikubaliana na taarifa yako kuwa hutofika uliyoitoa dakika za mwisho naomba lisijirudie mwakani!Ndugu zangu wana jamvi sikupata kujua alikuwa anakereka moyoni hata kidogo kwa lolote maana alionekana mwenye furaha muda wote, na siku tunatembea kwa muguu nilijua namsaidia kufanya zoezi maana fedha sio siri ilikuwepo si tu kupanda dala dala bali hata kukodi tax! lakini hakupata kusema mpaka jana alipo nitumia hiyo sms niliumia sana kila muda nawaza juu ya sms hii na hakuna aliloongopa yote ni kweli! hata jibu hapa sina najibuje sasa?
HAKUNA HAJA YA KUMJIBU. yEYE AMETOA RAI YA KWAMBA MAMBO HAYA YASIJIRUDIE MWAKANI _ 2014. SASA ITAKUWA VYEMA UKIYAFANYIA KAZI ILI YASIJIRUDIE NA HIVYO KUENDELEA KUMUUMIZA LAAZIZI WAKO
 
Back
Top Bottom