miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
jitahidi kumfanya awe muwazi kwako ili muwezi kwenda sawa kwa sababu we unaonekana ujitambui nafasi yako.....
Mpe pole,dinner date ya ukwee,na zawadi juu,say sorry,af mwambie na ye ajirekebishe ur not an angel to read her mind
Yaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!
jitahidi kumfanya awe muwazi kwako ili muwezi kwenda sawa kwa sababu we unaonekana ujitambui nafasi yako.....
Alikuwa hana hela sema hapa lazima ajitetee kama kweli alikuwa nazo iweje amuache mpenzi wake ndo alipe nauli? sehemu zote halaf na hizo root alizipanga yeye huweziona hata aibu root upange ww halaf nauli akulipie mwingneYaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!
Na wewe PM zangu hujibu,nitakufungulia thread!!!"Nadhani umri wangu hauniruhusu kuchangia hii thread.
Ngoja niwahi jukwaa la wakubwa.
Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mara zote huwa ana kipochi karibu karibu so sikujua anahela kidogo hata hivyo kuna wakati nakumbuka kabla konda hajaomba hela kaisha mlipa na anakuwa wa kwanza kusema baby nsha lipa usilipe sasa mimi ningejuaje mfuko wake? sijui lakini maana mimi siwezi kulipia mtu hata awe nani hadi nijikute sina hela ya kunifikisha nyumbani huku sijui mfuko wake ukoje?Yaani muda wote mnazunguka na daladala analipa nauli yeye na wewe unaridhika tu unachangia stori. Na unajisifu hapa ulikuwa na hela ya taxi? Ovyooo!
sijui lakini watu wengine wanavyochukulia mapenzi na majukumu na pengine nahitaji kujifunza kutoa fedha na pengine kutatua shida bila kuombwa wala kuelezwa!
sijui lakini watu wengine wanavyochukulia mapenzi na majukumu na pengine nahitaji kujifunza kutoa fedha na pengine kutatua shida bila kuombwa wala kuelezwa!
Alikuwa hana hela sema hapa lazima ajitetee kama kweli alikuwa nazo iweje amuache mpenzi wake ndo alipe nauli? sehemu zote halaf na hizo root alizipanga yeye huweziona hata aibu root upange ww halaf nauli akulipie mwingne
sijamjibu, japo alinipigia kujua kama nimepata sms yake nikamjibu ndio na nikaahidi kujibu! ila nasubiri kasafiri leo akirudi tu next week ntaomba maongezi naye na si sms! ntamtoa out tuongee!
Sms hiyo alikuandikia kwenye simu?
Na wewe PM zangu hujibu,nitakufungulia thread!!!"
Na wewe PM zangu hujibu,nitakufungulia thread!!!"
mfano wewe usipomuomba mtu hela akakupa unajisikiaje? huwezi kumuuliza ni ya nini? maana naona kama jambo gumu hivi!hata kama anafanya kazi lazima uwe unampa mpa hela mara kwa mara