Mkuu bado ipo kwenye draft?Tunaipokea na kuhifadhi kwenye draft hadi wakati mwafaka. Yakijiri tutaenda kwenye draft na kuipakua. Asante Mkjj
Kama halipo laja! Mkuu confirmed!Mtasema uzushi ikitokea je mtasemaje breaking news???Hapa nikuchukua tahadhari kila jambo linenalo lipo kama halipo basi laja......huu ujumbe si wa kupuuzia kabisa.
Big inspiration mkuu!Mkuu wangu Jasusi,
Ila mimi najipa Moyo kuwa hawataweza kutumaliza wote,na jinsi wanavoaanda huo umafia wao ndivyo wanavyojiaandalia anguko kwani hawatakua hata na uwezo wa kutunga hoja kukabiliana nasi maanke wamelalia umafia tu
Nguvu ya Umma haishindwi hata siku moja.Siku moja kitaeleweka tu.
Mtatiro ni undislosed issue enhe? Kama siri kuu ya wale watoto wa Fatima!The greatest udaku from JF,
1. Jamani Amina Chifupa yuko hatarini kufa huyo, akafa kweli,
2. Jamani Balali atakufa sasa hivi, akafa kweli,
3. Wangwe apigwe risasi, akafa kweli,
Labda kuna maana nyingi za neno udaku, na one of them ni ukweli toka JF.
Mkulu Mwanakijiji, ubarikiwe tu! na JF mbele zaidi!
...........Imekuja kama ile sms iliyotangaza kifo cha Zitto akiwa Mombasa wakati yeye mwenyewe akiwa hai na wiki moja baadaye tukasikia kifo cha Wangwe.
Hapo kwenye red pana ujumbe pia. Tutafakari kwa makini.
MODs haraka sana peleka hii habari kwenye tetesi, tumechoka na hizi habari tunataka tujadili masuala yakutatua shida za wananchi na siyo blah-blah.
hii ni thread ya 5th Sept 2008! Fatilia na matukio ya sasa! Hatari tupu!