Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Kuna mixtape nawapikia Ina mapini mengi makali soon nawawekea.
 
Moja ya oldies flash back kali sana.... those were the days. Ngoja leo nijongee zangu The Marz kwa John Dillinga nikacheze hizi makitu!
Upo siku nitatia timu ya John Dilinga, naamini panapendeza sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom