Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Hapo nimekula nimeshiba ugali dona, nyama ya kuchoma kilo moja , kachumbari iliyowekwa maparachichi, na nimeshushia lita moja ya mtindi mzito sana.

Halafu nikalala vizuri nikaamka saa nne usiku. Halafu mtoto wa mama mkwe yupo hapo pembeni kajilaza kizembe.

Naweka hii ngoma, halafu naanza kumlamba shingo ili kumuamsha. Akiamka kinawaka majirani watakesha na sisi kwa hiyo miguno.
Hahahah
 
Daaaaaaaaah mwamba we jamaa unazijua. Lazima ungoe pisi kali kwa kuzielewa hizi nyimbo. Maana hizi ni za kule R&B chamber of rare flavor.
Hahahah ukizielewa hizi mambo basi akina Latifa awasumbui kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom