Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,636
Real artist huyoI need an angel - Ruben. Jamaa anaimba kwa hisia mno
Real artist huyoI need an angel - Ruben. Jamaa anaimba kwa hisia mno
Blackstreet boys - Dont leave
Ngoja nikupe vitu
George Michael Careless whispers
Kula Chuma
Madonna La isla Bonita
Kula Chuma
Kool & G Cherish
Kula Chuma
MJ human nature
Aisee kula chuma
Dennis Edwards dont look any further
Hit em up styles - Blu CantrellNyimbo nzuri sana
Huu wimbo sitausahau.
Pale Bilicanas 1999 kama sikosei ilikuwa siku ya valentine. Kuna jamaa aliimba kihisia sana hadi leo amenikaa moyoni![]()
Unataka na za 80s kumbeNgoja nikupe vitu
George Michael Careless whispers
Kula Chuma
Madonna La isla Bonita
Kula Chuma
Kool & G Cherish
Kula Chuma
MJ human nature
Aisee kula chuma
Dennis Edwards dont look any further
Donel Jones - All this luv
Lile tusi kummmk siipendi hio nyimbo japo kali ila wametudiss machawaNo Scrubs - TLC
😀😀
Bata linaanzia jumatano usiku wa mwafrika, hakuna kupumzika hadi jumapili. 😀Kiwanja chetu cha kujidai miaka hiyo utazunguka kote ila lazima utie sign bills...
Napamiss sana..
Ha haaa bonge ya songiLile tusi kummmk siipendi hio nyimbo japo kali ila wametudiss machawa
Ukiiskiliza vizuri lazma utafte kazi ya kufanya 😀Ha haaa bonge ya songi
Ja Rule ft Vita - Between me n you
Hii ngoma daah, ongera na hero! Zilikuwa nyimbo za kulalia Enzo hizo zinapigwa Radio one na kwenye kipindi cha Marafiki na DJ Jd