Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Nilichogundua.. ni kwamba watu wengi wanapenda nyimbo za Male artists kitu ambacho kwa miaka hiyo Male artist waliwika sana kwenye makundi yao..

Ila for me Slow jamz kali top 10 kuanzia 1_7 ni female artists..

Wanajua wanachokifanya.
Na ndio nilochokigundua, sijaona majina mashuhuri kama Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy, May J, SWV, Tina Turner, Chaka Khan, Mariah Carey, Britney Spears, Aaliyah, Tanya Blount na wengineo ambao ndio hasa walikuwa vinara wa slow jams kabla ya wengi waliotajwa humu.
 
Nimejaribu kuweka list yangu nimeshindwa nianzie wapi niishie wapi, ni ndefu sana labda ningekaa na John Dilinga ndio tungeelewana vema. Ila kuna nyimbo adimu sana kali wengi hawazijui, kama vile:

Glenn Lewis - Fall Again
Jennifer lopez/ Selina - I could fall in Love with you
Lisa Fischer- How can I ease the pain
Jessica - Tell me why
SWV - Weak
112 - Your Letter
Tevin Campbell- Dandelion
Madonna - The Power of Goodbye
Donnel Jones - Do you wanna
Maxwell - Bad Habits

Hizo kwanza
 
Paula peanda - Walk Away.
Ed Sheeran - Thinking Out Loud.
 
Marry J Blidge - No more Drama
En vogue - Don't let Go
Kenny Letmore- Day Like This
Whitney Houston -Heart Break Hotel
 
En Vogue -Dont let go hii nyimbo ilikuwa soundtrack kwenye muvi ya setitoff


aisee ilikuwa inaudhunisha pale Queen latiphar anapigwa bomba alafu Ndo unaisikia hii Ngoma inapigwa Kwa mbali acha kabisa
 
Hebu hizo jams muwe mnaweka na audio zake kabisa hapa ili tuwe tuna-download tu kiurahisi tupate nyimbo za kulalia... umri ukisogea usingizi kupata ni mtihani. Si mnaelewa wazee wenzangu?! 😌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom