Dah lots of memories 🔥🔥🔥🔥🔥Every little thing I do- soul for real
Every lil thing i do ur on ma mind 🎶🎶🎶🔥🔥🔥Every little thing I do- soul for real
Naona wazee kina dre diddy 50 cents wamekuja na mashups mbili tatu kurudisha enzi zao ngoma zimetulia vijana wamezikubaliKilichosaidia R&B ya miaka ya kuanzia 1990 kuja early 2000 kuwa na the best artists na best songs of all times ni wao kurejea nyimbo za zamani na kuzifanyia sampling na kuziboresha na kuweka vionjo vyao na kuifanya iwe best.
Hii inasaidia sana katika creativity sababu unaanzia pale alipoishia aliyekutangulia kisha wewe unaboresha lazima ngoma itoke bomba. Hawa wa miaka hii wanafosi kujifanya wabunifu matokeo yake wanatutengenezea nyimbo za hovyo ambazo hazina hata ubora zaidi ya kelele nyingi.
Ukitazama nyimbo za era ya 1990 to 2000 earliest nyingi ni hit after hit. Na haikuitaji promo kuzifanya kupata wasikilizaji. Sisi wasikilizaji ndio tulikuwa tunazisubiria kwa shauku kubwa sana. Na zikitoka inakuwa si mchezo. Unapewa taarifa album inaandaliwa 2 years ndipo inakuwa released.
Huyu jamaa dupri alikuwa anamuwezea pia mariah carey beats zake 🔥🔥🔥Noma sana. Naomba kuongezea kwamba ngoma hii ilibeba jina la Album. Kama kawaida Usher ngoma zake nyingi ametengeneza Jermaine Dupri ikiwemo hii ambayo pia ameandika "co-wrote" na Dupri.
Dupri amekuwa anamuweza sana Usher na ngoma nyingi zimeshinda grammy ikiwemo hii "confession" "My way" ,"You got it bad" isipokuwa "You remind me" ambayo imetengenezwa Bad boy kwa Diddy.
Utamu wa ngoma nyingi za Usher zinanogeshwa zaidi kwenye video ambapo huwa anaacha kuimba na anacheza kwa ustadi na ufundi mkubwa basi huwa ni burudani isiyo kifani. Tazama "Confession" mwishoni pale dogo anavyoshake na Amefican boots zake. Mwacheni huyu dogo ashinde grammy aisee.
I want it that way - Nsync
Dah lots of memories![]()


Ooh yes ni kweli. Thanks narekebishaDemi hii ngoma sio ya Backstreet Boys kweli? Well ni ngoma kali mno.

Huyu jamaa dupri alikuwa anamuwezea pia mariah carey beats zake 🔥🔥🔥
2become1 - Spies GirlsMimi nimekataa kuondoka 90’s kabisa
Ndio nyimbo nasikiliza kilasiku bila kuchoka![]()
Ooh yes ni kweli. Thanks narekebisha
Naona wazee kina dre diddy 50 cents wamekuja na mashups mbili tatu kurudisha enzi zao ngoma zimetulia vijana wamezikubali
Back in the gameKama kuna ngoma yeyote kaandaa Dre recently naomba unipe jina niitafute mkuu.
Back in the game
Fly high
Kabisa nyimbo nilizonazo nyingi ni za kipindi hichoMimi nimekataa kuondoka 90’s kabisa
Ndio nyimbo nasikiliza kilasiku bila kuchoka![]()