Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

siyo kadi bwana shahada ya mpiga kura=talaka kwa magamba watanzania:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:ccm mhhhhhhhh:a s-cry::a s-cry::a s-cry::a s-cry:

nataka athibitishe mana hata awamu iliyopita walijiandikisha alafu siku ya meich hawakutokea.. Hawa ni wasanii sana.
 
nataka athibitishe mana hata awamu iliyopita walijiandikisha alafu siku ya meich hawakutokea.. Hawa ni wasanii sana.

Wajua kujiandikisha ni TENDO moja na la pili ni kwenda kuipiga hiyo kura.............Hapa ndipo kazi kubwa inatakiwa kufanywa na UKAWA kuwahamasisha waliojiandikisha kwenda kupiga kura...........Na wawe wanawapa elimu ya namna ya kupiga kura ili wasiharibu KURA za UPINZANI............

Huko kijini kwetu ELIMU ni Kwenye madaladala tu.............
 
Hahahahah na nani?Upinzani?Maweeeeeeeeeeeeeeee Siku ilipotangazwa UPINZANI rukhusa basi zile kadi za kijani zote pamoja na katiba zake zilichomwa moto................

Maana enzi zile ilikuwa upende usipende lazima uwe mwanachama wa kijani vinginevyo hutapata shule,chuo wala kazi.............Hivyo tulivyomaliza tu kale kajeshi kwa kujenga Taifa hiyo ndiyo ilikuwa Zawadi ya kuanzia maisha ya uraiani.................Hivyo hasira zote ilibidi nifanye hivyo..............

sijajua kipindi upinzani unaazishwa 1992 wewe ulijiunga na chama kipi.. mimi nashukuru harakati za kuichukia tanu mpaka ccm nikuwanazo hivyo hata kadi ya tanu sikuitaka hata kuigusa japo mzee wangu alikuwa kada wa TANU wa karibu kabisaa na babu mzee JULIUS.
 
Umesahau pia kura zilipigwa kwa mlengo wa dini mapadre walihamasisha wapige mkristu mwenzao , sasa zamu hii ni ya wakristu sijui itakuwaje hapo

Ndo rahisi zaidi,tunapigia mkristo haijalishi ni padre au sio
 
Wakisikia wanaccm wenzako watapata pressure na kukuchukia
 
Wajua kujiandikisha ni TENDO moja na la pili ni kwenda kuipiga hiyo kura.............Hapa ndipo kazi kubwa inatakiwa kufanywa na UKAWA kuwahamasisha waliojiandikisha kwenda kupiga kura...........Na wawe wanawapa elimu ya namna ya kupiga kura ili wasiharibu KURA za UPINZANI............

Huko kijini kwetu ELIMU ni Kwenye madaladala tu.............

LUBUVA amewapiga marukufu UKAWA kuenneza somo la kujiandikisha na kuhakikisha wanapiga kura.
kwahiyo elimu hii inakuwa ni tete na inaonekana kama kuna agenda ya siri katika mchakato wa BVR ccm kupitia tume wamesha panga hesabu zao na wamepanga wapi pa kuwaandikisha watu wao kwa wingi ili zile sehem zenye upinzani idadi ipungue na ccm waweze kupiga bao lkn tumegundua na lazima kieleweke safari hii tunajiandikisha na tunapiga kura
 
Haujasikia MLIO wao kwenye UJUMBE toka kwa Mzee wa NEC Lubuva?Ati Chadema hawaruhusiwi kufanya kampeni ya kujiandikisha ni kazi ya NEC...............Ukijumlisha unapata jibu..................

Kuna hoja nimeiona humu jamvini inasema kuna mikoa uandikishwaji ulifanywa kwa haraka sana hadi waliotakiwa kuandikishwa hawakuandikishwa. Ngoja niitafute huo uzi nikutag.
 
Hawa watoto wa matajiri wanamaudhi sana kaka............Inabidi tu wakati mwingine uwe mkali kidogo vinginevyo watazidi kutufanza awa............Maana ni :hatari::hatari::hatari: kuliko:shetani::shetani::shetani:

ni kweli lkn ukishaona hivi usionyeshe mihasira yako huwa wanapenda sana wakigundua unamihasira ndo wanakuzidishia mwishowe utafana na FAIZA:confused2:
 
Atuambie kwa nini alimuasi Mungu, Majukumu aliyopewa aliyakimbia teh teh teh leo apewe uprezida atatuacha solemba huyu!

Kwani aliyekwambia huwezi kuondoka/kuvunja mkataba km upo kinyume na makubaliano ni nani?
Wewe ndo ndo unajua kuwa aliasi?
Wewe ni Mungu?
 
Watu wanakuja kwny mikutano kupata burudani na makelele na mbwembwe mioyoni mwao wanaichagua ccm alwayzz ukubwa wa pua siku zote si wingi wa kamasi...
 
Kwani aliyekwambia huwezi kuondoka/kuvunja mkataba km upo kinyume na makubaliano ni nani?
Wewe ndo ndo unajua kuwa aliasi?
Wewe ni Mungu?

Ngoja Makene aje akusaidie kujibu, majibu yako hayakidhi viwango vya UKAWA inaelekea wewe ni mpitaji tu na hapa umeingia kwa bahati mbaya!pole ndugu!
 
ni kweli lkn ukishaona hivi usionyeshe mihasira yako huwa wanapenda sana wakigundua unamihasira ndo wanakuzidishia mwishowe utafana na FAIZA:confused2:

Hamna lolote nyie mmepotea kwenye ajenda kuu nyie, hivi mnajua mnachokijadili?kwanza semeni wote kwa pamoja boss wenu leo yuko wapi??
 
Kuna hoja nimeiona humu jamvini inasema kuna mikoa uandikishwaji ulifanywa kwa haraka sana hadi waliotakiwa kuandikishwa hawakuandikishwa. Ngoja niitafute huo uzi nikutag.

Ukiona hivyo ujue hawakuanna sifa za kuandikishwa au waligundulika raia haramu!kwani wewe umeshajiandikisha hapo kwako kama bado umeliwa teh teh uchaguzi utausikilizia kwenye bomba!
 
Unamjuwa member mwenzetu anaeitwa Mkandara. Nafikiri umenielewa. Cc Matola
mshikachuma usiwe na tabia ya wapiga ramli ukadhani umejaliwa kipaji kumbe unaidanganya akili yako mwenyewe. Toka lini mimi nimekuja hapa na majina zaidi ya hili nalotumia. Sijawahi wala sitoweza kubadilisha jina toka naingia kumbi za mijadala kama hii miaka 15 iliyopita. tabia za kinafiki mnazo nyie mnaojificha nyuma ya pazia mkadhani kila mtu ni kama nyie.

Kama nina jambo naliweka wazi sipo hapa kuzungumzia watu bali nazungumzia Issues na hata hizo Events mnazileta nyie mimi huzitazama na kuchangia katika uhalisia wake tu. Sipo hapa kumzungumzia mtu iwe Dr.Slaa ambaye kwenu nyie mnamuona kama nabii wa Mungu kuikoa Tanzania. Ni imani yenu na sitowaingilia ila tu msitake kunishawishi mimi katika imani hiyo.
 
Back
Top Bottom