Yeye sio usalama wa taifa, anamaanisha tufanye research.Sasa si ndio ukiweke hapa hicho kitu???
Yeye sio usalama wa taifa, anamaanisha tufanye research.Sasa si ndio ukiweke hapa hicho kitu???
....what the f*ck ar u talking!!...alieko deep see kwa kutokuona ni mimi ama wewe??....Unadandia hoja usizoweza kujadili....unalipwa hela ngapi we???mimi sijadiliani na madodoki kama wewe... i don't argue with fools like you.......Oooooh sorry kumbe Im talking with kipofu, u dont see sasa mbona unapelekwa deep sea!
Mahayani wengi nchi hii ruzuku inatokana na kodi za wananchi ccm wanapokea ruzuku kama vyama vingine acha ujinga, kama kuna shida kwenye chama chake na vyombo vya usalama vya serikali ya CCM vimeshindwa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ujue ni serikali dhaifu inayopaswa kuondolewa
....what the f*ck ar u talking!!...alieko deep see kwa kutokuona ni mimi ama wewe??....Unadandia hoja usizoweza kujadili....unalipwa hela ngapi we???mimi sijadiliani na madodoki kama wewe... i don't argue with fools like you.......
Tukana tu maana ndiko mnakoishia pale mnapokua empty mind!viroba vinaanza kufanya kazi!!
Rais ni Lowasa nyie acheni kujidanganya
Mahayani wengi nchi hii ruzuku inatokana na kodi za wananchi ccm wanapokea ruzuku kama vyama vingine acha ujinga, kama kuna shida kwenye chama chake na vyombo vya usalama vya serikali ya CCM vimeshindwa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ujue ni serikali dhaifu inayopaswa kuondolewa
wewe kama kweli ni ccm,ndio wale Makongoro amewaita vibaka.Chama chetu mnakipeleka wapi nyie vibaka na majizi?Achani chama chetu anzishenu chenu na lowasa
Slaa amepoteza mvuto
Aanze kukata kwanza mirija ya ufisadi wa chama chake kwenye Ruzuku wanayopewa na serikali ya CCM ndo ahanie kwingine wee vp?
Huwezi kuwasema wengine kuwa ni mahayawani kama wewe si mmojawao,toa hoja acha kuloloma!na kama huwezi kujenga hoja kinywa chako kimejaa mitusi tupishe tu usije kula ban!
Imefika Sehemu ccm imefanya ufisadi mpaka kwenye shiling 200 yakuingilia ubongo bus stand shame
Ngoja Mushumbusi akusikie utajuta wewe mwenyewe anaota kuwa first lady!
Kwani wewe uko kundi gani jana si nilikuona kwenye msafara wa Katavi unaelekea sheli na bodaboda yako kutumia Ruzuku ya CHADEMA?
Wenye mitusi ni nyie mnao fanya ufisadi mpaka kwenye hela zakuingilia stand
Sijui kwanini sina imani na UKAWA, japo SISIEM ndo sitaki kabsaaaa kuwasikia.
PIGENI MAWE