Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Hivi yupo bado, maana hasikiki sana au mapaparazi wamemsahau?

Nakumbuka kumsikia sana wakati Jose anaongelewa.
 
Dr Slaa ndiye rais wa mioyo ya watz.Mungu ambariki sana ili kwa pamoja tukayafaidi matunda ya Uhuru wetu yaliyoporwa na mafisadi ya ccm
 
Utaratibu wa kuwateua watakaogombea ubunge unapaswa utumike pia kwenye urais. Tusilazimishe fulani lazima awe mgombea,tutasababisha mtafaruku
 
ukawa msisahau Katiba ya warioba katika manifesto ya kampeni kwamba mtairudisha bungeni baada ya ushindi
 
Ingawa sasa CCM ndiyo habari ya mjini, Dr. Wilbrod Peter Slaa asisahaulike. Ingawa mchakato wa kutangaza nia ndani ya CCM umeteka kilamedia hapa nchini, Dr. Slaa ni mwiba mkali kwa CCM yetu kama akiridhiwa na UKAWA kupeperusha bendera yao hapo Oktoba.

Kwa mwitikio anaoupata kwenye mikutano ya UKAWA huko apitapo na ninayoyaona humu nitembeapo,Dr. Slaa ni silaha tegemezi ya UKAWA.

CCM iwe pamoja au iwe vipandevipande baada ya mchakato wa ndani wa kumpata mgombea wetu, Dr. Slaa hatatetereka wala kuimarika.Atabaki kama alivyo: imara as ever. Iko wazi kuwa Dr. Slaa ana mtaji kuanzia safari yake ya Oktoba endapo UKAWA wakimpitisha.

Anaweza kubezwa na kukejeliwa lakini yeye ni mwanasiasa wa kufanyiwa maandalizi ya kutosha. Mgombea yeyote wa CCM na wengineo angetamani kikombe cha Dr. Slaa kimuepuke.

Yupo kwenye kumbukumbu ya watanzania kama mwanasiasa aliyethubutu kupambana na mafisadi,kwa vitendo, kwakuanika a List of Shame pale Mwembeyanga-Temeke, orodha ya mafisadi inayojidhihirisha kila kukicha.

Niseme tu, Dr. Slaa is one of the most complete politicians from the opposition. He is, normally, slow but sure! Hata asipokuwa mgombea wa UKAWA, atakuwa kiungo muhimu kwenye timu ya UKAWA.

Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Tabora)
 
Mzee wangu kwa ushauri tu,kama mnaipenda Tanzania yetu aka TAIFA letu basi safari hii tuipeleke IKULU kwa WAPINZANI
 
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa
 
Sasa si ndio ukiweke hapa hicho kitu???
 
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa

Mkuu angalizo lako ni nzuri, na ingekua vyema kama ungefafanua zaidi.

Lakini inabidi ukumbuke pia kuwa, matokeo ya mwaka 2010 yalichezewa sana, hivyo data halisi ya kura alizopata Dr. Slaa hata tume yenyewe haina uhakika nayo.

Mfano halisi ni jimbo la Geita, ambapo Dr. Slaa alilalamika kura zake kupunguzwa kwa kiasi kikubwa na tume ya uchaguzi ikakiri makosa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Trend ilikuwa hivyo katika majimbo mengine!

So lets wait and see!
 
Back
Top Bottom