polymer0108
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 123
- 22
ccm wenzangu wapendwa jamani tupeni hoja za mashiko.Tunakaria majungu ya padri,mzinzi sisi uku kwenye mikutano tukiviongea tunazomewa.Jamani leteni hoja nasisi tujifunze tuitetee ccm yetu sio majungu
Huyo hana tofauti na Yuda Eskariote!
Kweli mkuu, binafs nimeshuhudia ccm wakizomewa sana kwa kukosa hoja za msingi ila wamejazwa personal issues ambazo hata wa kuzithibitisha n mungu pekee.
Nape na team yake inabd awafunze upya, itafikia hatua mtaonekana vilaza wa kufikiri.
Cc mali si pesa